ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Nimecheka sana🙌😅kukata miti 😁
Nimecheka sana🙌😅kukata miti 😁
😂😂🤓Nimecheka sana🙌😅
Badirisha sehemu unayonunua vitumbua😁Binafisi napenda sana vitumbua tena sana. Mfano Leo hii nimeingia mgahawani nikaagiza vitumbua 15 hadi muhudumu akashangaa na vilipoishia nikaagiza aongeze vitumbua3. Nikalipia nikaenda zangu.
Baada ya masaa2 tu Njaa ambayo nilipata si ya kawaida hadi nikawa naona Giza na kutetemeka kabisa.
Hii si mara ya kwanza kabisa kuwa katika hali hii huwa inatokea mara kwa mara si mara zote ninapokula vitumbua.
Iko hivi naweza kula muhogo wa kutafuta pekee ama chakula chochote kile na nisihisi Njaa hadi saa5 name mchana au hata nisilie kitu chochote kile nitahisi Njaa tu ya kawaida ambayo nitaimudu lakini nikila vitumbua mambo huwa tofauti.
Hii inaweza kuwa shida Nini wakubwa ?
Cheki sukari asap kakaBinafisi napenda sana vitumbua tena sana. Mfano Leo hii nimeingia mgahawani nikaagiza vitumbua 15 hadi muhudumu akashangaa na vilipoishia nikaagiza aongeze vitumbua3. Nikalipia nikaenda zangu.
Baada ya masaa2 tu Njaa ambayo nilipata si ya kawaida hadi nikawa naona Giza na kutetemeka kabisa.
Hii si mara ya kwanza kabisa kuwa katika hali hii huwa inatokea mara kwa mara si mara zote ninapokula vitumbua.
Iko hivi naweza kula muhogo wa kutafuta pekee ama chakula chochote kile na nisihisi Njaa hadi saa5 name mchana au hata nisilie kitu chochote kile nitahisi Njaa tu ya kawaida ambayo nitaimudu lakini nikila vitumbua mambo huwa tofauti.
Hii inaweza kuwa shida Nini wakubwa ?
Iko normal broCheki sukari asap kaka
Huwa sio sehemu Moja popote nikiona na nunuaBadirisha sehemu unayonunua vitumbua😁
Nimeeleza hapo juuUna kilo ngapi ?
Urefu wako tafadhali ?
Mara ya mwisho kupima /kumeza dawa za minyoo ni lini ?
Vya mcheleVitumbua gan mkuu?
Huwa Iko hivyo kabisa mkuuJipime kwa kula ugali ama chapati kisha uingie kwenye kazi ngumu: utajikuta unapokuwa umekula chapati ama viazi/mihogo, shibe ama nguvu inachukua muda mrefu mwilini kuliko ukila ugali.
Ni kweli huwa nipo vizuri kabisa lakini vitumbua chap tu hakuna kituUkila wanga kama mchele, ugali, ngano lazima usikie njaa mapema. Jaribu kula viazi au muhoga halafu uje hapa kutoa mrejesho
Mkuu wewe siyo kama yule jamaa nilisikia anaweza kumaliza ugali kilo 5 na maharangwe kilo kilo tatu. Akifika kwa mamantilie anamaliza jungu zima Ila wanasema hali yeye peke yake, anakula na viumbe visivyoonekana maana kwa uwezo wake peke yake hawezi kula ugali kilo 5. Yawezekana mkuu wewe viumbe wako wanapenda Vitumbua tu😀😀😀. Nenda kwa wataalamu hasa wa Mnyazi watakufanyia jambo hiyo siyo minyoo ya kawaida.Huwa sio sehemu Moja popote nikiona na nunua
Hahahaaaa !Mkuu wewe siyo kama yule jamaa nilisikia anaweza kumaliza ugali kilo 5 na maharangwe kilo kilo tatu. Akifika kwa mamantilie anamaliza jungu zima Ila wanasema hali yeye peke yake, anakula na viumbe visivyoonekana maana kwa uwezo wake peke yake hawezi kula ugali kilo 5. Yawezekana mkuu wewe viumbe wako wanapenda Vitumbua tu😀😀😀. Nenda kwa wataalamu hasa wa Mnyazi watakufanyia jambo hiyo siyo minyoo ya kawaida.
Hilo ni tatizo mkuu, yawezekana anatembea nao hajui kama yuko nao. Na wanamuelekeza akanunue vitumbua tu maana wao ndo msosi wao pendwa. Afanye haraka atibiwe kabla hawajabadirisha mlo la sivyo siku watabadiri mlo wakataka damu, hapo ndo itakuwa shida zaidi😁😁😁Hahahaaaa !
Nimecheck ChatGPT, Ana jibu zuri sana la kisayansi hilo swali lako, just copy and paste ulichoandika kule utapata majibuNimeeleza hapo juu
Kg76
Urefu 5.8
Wiki3 zilizo pita tu.
NB: hii shida si ya Leo wala Jana ni siku zote
Minyoo Sina kabisa. Halafu ni vitumbua pekee
Sahihi na kweli kapatia kabisaNimecheck ChatGPT, Ana jibu zuri sana la kisayansi hilo swali lako, just copy and paste ulichoandika kule utapata majibu
Hapana ni Mimi kabisa wala sio viumbe wengine huwa nakula mwenyeweMkuu wewe siyo kama yule jamaa nilisikia anaweza kumaliza ugali kilo 5 na maharangwe kilo kilo tatu. Akifika kwa mamantilie anamaliza jungu zima Ila wanasema hali yeye peke yake, anakula na viumbe visivyoonekana maana kwa uwezo wake peke yake hawezi kula ugali kilo 5. Yawezekana mkuu wewe viumbe wako wanapenda Vitumbua tu😀😀😀. Nenda kwa wataalamu hasa wa Mnyazi watakufanyia jambo hiyo siyo minyoo ya kawaida.
HahahaaaRio alisema amekuja huku kuangalia vipaji sasa mbona hakuangalia na hicho chako. My friend jina lenyewe linakumalizia chakula tumboni yaani refu kama sharti la mganga wa congo