Huwa nakula vitumbua hadi 18 na supu ama chai ajabu baada ya masaa2 napata Njaa Kali mno hadi kutetemeka je ni ugonjwa?

Binafisi napenda sana vitumbua tena sana. Mfano Leo hii nimeingia mgahawani nikaagiza vitumbua 15 hadi muhudumu akashangaa na vilipoishia nikaagiza aongeze vitumbua3. Nikalipia nikaenda zangu.

Baada ya masaa2 tu Njaa ambayo nilipata si ya kawaida hadi nikawa naona Giza na kutetemeka kabisa.

Hii si mara ya kwanza kabisa kuwa katika hali hii huwa inatokea mara kwa mara si mara zote ninapokula vitumbua.

Iko hivi naweza kula muhogo wa kutafuta pekee ama chakula chochote kile na nisihisi Njaa hadi saa5 name mchana au hata nisilie kitu chochote kile nitahisi Njaa tu ya kawaida ambayo nitaimudu lakini nikila vitumbua mambo huwa tofauti.

Hii inaweza kuwa shida Nini wakubwa ?
Vitumbua gan mkuu?
 
Sipendi vitumbua sababu ya mafuta na hata nikila si zaidi ya 3 na navikamua na tissue kwanza
Nina shida ya over weight sitaki kuzidisha matatizo
apo kwenye kukamua nimecheka kweli nikilinganisha na anayekula 18 na mafuta yake, duh😅
 
Binafisi napenda sana vitumbua tena sana. Mfano Leo hii nimeingia mgahawani nikaagiza vitumbua 15 hadi muhudumu akashangaa na vilipoishia nikaagiza aongeze vitumbua3. Nikalipia nikaenda zangu.

Baada ya masaa2 tu Njaa ambayo nilipata si ya kawaida hadi nikawa naona Giza na kutetemeka kabisa.

Hii si mara ya kwanza kabisa kuwa katika hali hii huwa inatokea mara kwa mara si mara zote ninapokula vitumbua.

Iko hivi naweza kula muhogo wa kutafuta pekee ama chakula chochote kile na nisihisi Njaa hadi saa5 name mchana au hata nisilie kitu chochote kile nitahisi Njaa tu ya kawaida ambayo nitaimudu lakini nikila vitumbua mambo huwa tofauti.

Hii inaweza kuwa shida Nini wakubwa ?
Hauna tatizo lolote mkuu, inaonekana wewe ni mtu kazi.

Uji ama vitumbua si vyakula vya kutumia wakati unaenda kufanya kazi ngumu, ni vyakula luxury sana hivyo.

Hivi vyakula vya wanga, hasa unga wa mahindi yaliyokobolewa, hupoteza 'fiber' nyingi zinazosababisha shibe kukaa tumboni kwa muda mrefu.

Jipime kwa kula ugali ama chapati kisha uingie kwenye kazi ngumu: utajikuta unapokuwa umekula chapati ama viazi/mihogo, shibe ama nguvu inachukua muda mrefu mwilini kuliko ukila ugali.

Wengi tulishakaririshwa kuwa ugali una nguvu kuliko vyakula vingine vya wanga mfano wali ama chapati, ambapo siyo kweli.

Kama ni mshabiki wa vitumbua, basi ambatanisha hata na chapati mbili katika mlo huo ndiyo uingie mzigoni, ama vitumie kama chakula chako cha starehe wakati unasubiria chakula kingine.
 
Binafisi napenda sana vitumbua tena sana. Mfano Leo hii nimeingia mgahawani nikaagiza vitumbua 15 hadi muhudumu akashangaa na vilipoishia nikaagiza aongeze vitumbua3. Nikalipia nikaenda zangu.

Baada ya masaa2 tu Njaa ambayo nilipata si ya kawaida hadi nikawa naona Giza na kutetemeka kabisa.

Hii si mara ya kwanza kabisa kuwa katika hali hii huwa inatokea mara kwa mara si mara zote ninapokula vitumbua.

Iko hivi naweza kula muhogo wa kutafuta pekee ama chakula chochote kile na nisihisi Njaa hadi saa5 name mchana au hata nisilie kitu chochote kile nitahisi Njaa tu ya kawaida ambayo nitaimudu lakini nikila vitumbua mambo huwa tofauti.

Hii inaweza kuwa shida Nini wakubwa ?
Kapime minyoo na uti
 
Kitumbua kinatokana na mchele uliolowekwa ukakaushwa na kusagwa

Kisha ukachachushwa kwa chachu kidogo ili uumuke.!

Sasa kama chakula kilichowekwa chachu kinatembea sana kwenye mwili wako si vibaya

Ili uwe sawa pendelea kula vitu vya mchemsho unavyopenda kwa chombezo za kutosha

Mfano: mihogo ya kuchemsha na kachumbari uliyokata mwenye au kupika mwenye

Tena Kuna kombineshe ya ki pekee ya muogo wa kuchemsha usio na chumvi nyingi kwa asali mbichi 😎
 
Sasa jaribu wewe uone unavyonenepeana 😅😅
Sio haki ujue
labda 10 japo sijawah na siwezi jaribu kula 18 kirahis hivyo, nakumbuka siku moja kwenye graduation ya shule nikiwa form 2 nilishindana kula sitasahau nilivimbiwa ila wenzangu fresh tu, sikulala vizuri siku iyo♿🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom