Huwa napenda kuona hii michirizi ya vyupi za wanawake.

Huwa napenda kuona hii michirizi ya vyupi za wanawake.

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Wakuu
Mficha maradhi kifo humuumbua,kiukweli mimi niko addicted na hii michirizi ya vyupi za wanawake,kila nikikutana na mwanamke lazima kwanza niangalie kama hiyo kitu inaonekana.
Kuna mwingine humu ana haka kaugonjwa?
 
Attachments

  • FB_IMG_1735292122862.jpg
    FB_IMG_1735292122862.jpg
    31.4 KB · Views: 6
Mkuu huenda una tatizo ambalo kitaalamu linaitwa paraphilia ambayo ni fetishism ya nguo ya ndani. Huu ni ugonjwa wa akili. Muone mtaalamu wa afya ya akili au mshauri wa kisaikolojia. Huna tofauti na wazee wa chabo.

Wewe ukiishi nyumba za uswazi kwetu huku kesi za chabo hazitaiisha maana wamama wa huku Dar uswazi wanajisasambua haswa wawapo majumbani hasa wafuapo na kuosha vyombo. Kajitibu mkuu.
 
Wakuu
Mficha maradhi kifo humuumbua,kiukweli mimi niko addicted na hii michirizi ya vyupi za wanawake,kila nokikutana na mwanamke lazima kwanza niangalia kana hiyo kitu inanekana.
Kuna mwingine humu ana haka kaugonjwa?
Mkuu hivi unajuaje ni alama ya michirizi chupi na siyo michirizi ya nyama ya tako? Vp wale wanawake wanaovaa chupi za funua tako uone chupi hawakutoi udenda.
 
Wakuu
Mficha maradhi kifo humuumbua,kiukweli mimi niko addicted na hii michirizi ya vyupi za wanawake,kila nokikutana na mwanamke lazima kwanza niangalia kana hiyo kitu inanekana.
Kuna mwingine humu ana haka kaugonjwa?
Mi napenda wavaa BaibuI na kubakiza kauso Tu. Ukimvua BaibuI kunako faragha la haula
 
Hilo ni suala la kawaida kwa rijali yeyote. Hauko peke yako. Mimi ugonjwa wangu ni wale wadada wa kiislamu wanajifunika na kuacha uso tu hasa hawa wa kisomali. Wenyewe wanaita kuvaa nguo za stara. Mwaka 2014 kuna manzi huko Ilala alinichanganya sana.
 
Kuna wale ambao wanaonekana sura "stara" ila huku nyuma kuna zigo limefungasha balaa.
 
Back
Top Bottom