Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
Kwa wanao Vaa bikini je🤷🏽♂️😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado wapo ingia mwendokasi utaona. Dawa kuwe na mwendokasi la wamama na la wababaUmenikumbusha mbali sana kuhusu wale jamaa wakiitwa dungadunga,enzi hizo kwenye daladala,ke usalama wao ulikuwa hatarini (sidhani kama wapo sikuhizi),wao mwanamke alikuwa akikaa mbele umsogelea zaidi makalioni ili kutimiza haja yake,huu ni ugonjwa hakika,,sijui wanamapepo watu hawa!!!