Huwa napenda kuona hii michirizi ya vyupi za wanawake.

Huwa napenda kuona hii michirizi ya vyupi za wanawake.

Wakuu
Mficha maradhi kifo humuumbua,kiukweli mimi niko addicted na hii michirizi ya vyupi za wanawake,kila nikikutana na mwanamke lazima kwanza niangalie kama hiyo kitu inaonekana.
Kuna mwingine humu ana haka kaugonjwa?
Kwa hali hii suala la katiba mpya ndo basi tena😢
 
Umenikumbusha mbali sana kuhusu wale jamaa wakiitwa dungadunga,enzi hizo kwenye daladala,ke usalama wao ulikuwa hatarini (sidhani kama wapo sikuhizi),wao mwanamke alikuwa akikaa mbele umsogelea zaidi makalioni ili kutimiza haja yake,huu ni ugonjwa hakika,,sijui wanamapepo watu hawa!!!
 
Back
Top Bottom