Umenikumbusha mbali sana kuhusu wale jamaa wakiitwa dungadunga,enzi hizo kwenye daladala,ke usalama wao ulikuwa hatarini (sidhani kama wapo sikuhizi),wao mwanamke alikuwa akikaa mbele umsogelea zaidi makalioni ili kutimiza haja yake,huu ni ugonjwa hakika,,sijui wanamapepo watu hawa!!!