Huwa nawahurumia sana wanaume wenye tabia za kunyonyana ndimi na wanawake

Huwa nawahurumia sana wanaume wenye tabia za kunyonyana ndimi na wanawake

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,966
Reaction score
26,220
Poleni kwa jf kufungiwa.
Kuna utafiti nimekua nikiufanya,nimegundua wanawake wengi huwa wanapenda kunyonya sehemu za siri za wanaume.

Sasa huruma yangu ni hii,mwanamke let's say ni mke wa mtu amechepuka mchana amekuja kwangu Mr kyagata amechezea na kunyonya mti siku nzima,then jioni anarudi kwa mumewe na kujibebisha mara wanaweka uzungu mwingi wenyewe wanaita romance wananyonyana ndimi.
My friends mnalishwa mauchafu mjue!
 
Halafu kuna wengine wana TB unaipeleka nyumbani kwako mpaka unaambukiza na watoto
Hao sio wa kuhurumia bali ni wa kuwaombea sana waache hizo tabia.

Hivi mmewahi kujiuliza hilo?
Je akikohoa kohoa huoni red flags 🚩 hapo?
Hata mchepuko mkapime
 
Sasa huruma yangu ni hii,mwanamke let's say ni mke wa mtu amechepuka mchana amekuja kwangu Mr kyagata amechezea na kunyonya mti siku nzima,then jioni anarudi kwa mumewe na kujibebisha mara wanaweka uzungu mwingi wenyewe wanaita romance wananyonyana ndimi.
Unaogopa ndimi, huogopi laana na kubadilishana maagano?
 
Poleni kwa jf kufungiwa.
Kuna utafiti nimekua nikiufanya,nimegundua wanawake wengi huwa wanapenda kunyonya sehemu za siri za wanaume.

Sasa huruma yangu ni hii,mwanamke let's say ni mke wa mtu amechepuka mchana amekuja kwangu Mr kyagata amechezea na kunyonya mti siku nzima,then jioni anarudi kwa mumewe na kujibebisha mara wanaweka uzungu mwingi wenyewe wanaita romance wananyonyana ndimi.
My friends mnalishwa mauchafu mjue!

Sheikh wangu nawe unakuwa unanyonya ya mumewe mnabadilishana ndo Dunia ilivyo.
 
Mamaee

Watu wadhani ndoa ni uzushi.!

Wahuni Baada ya kukubaliana kuchapa na kuchapiwa wakaja na pendekeazo likaitwa ndoa

Wasikunywe ndimi za mafedhuli
 
Umenikumbusha jamaa yangu alizoea kuchek porn pindi tupo chuo. Siku ya siku akaopoa kibinti toka mbagala majimatitu! Si akaona akapagawishe na madesa ya yakunako pornograph kunyonya "papa" na mipagawisho mingneyo ya kizungu kunako 6×6!
Kweli kitoto kikakolea kikamganda kinoma...!!
Baada ya wiki mbili, mwana mdomo ukaanza kuwashawasha hali ikawa tete akatokewa na utando mweupe kwenye kingo za mdomo!
Salaleee! nikamstua mwana wahi kwa daktari kabla mdomo haujamomonyoka kabisaaa!!

Ila navyojua mimi mapenzi hayana kinyaa. Ukiwa mzigoni mvuruge mwenzio nyonya kila sehemu gusa hata pasipofikika mpaka afike tu ili heshima itawale...!
Ukimbwela, siku akikutana na jitu fundi, huyo tena sahau kuwa wako!
 
Vipi ikiwa huyo mwanaume naye katoka kuzamia uvinza alikotoka?

Ukiwa muhuni unapata muhuni mwenzio, sheria ya Ulimwengu haibabaishi..!!
Wote ni wa kuhurumiwa
 
Back
Top Bottom