Huwa nawahurumia sana wanaume wenye tabia za kunyonyana ndimi na wanawake

Huwa nawahurumia sana wanaume wenye tabia za kunyonyana ndimi na wanawake

Ongezea na wapiga deki
Mchana unanyanduliwa na juma anamwaga ndanii usiku Mume anapiga dekii deiiiim🤣
 
Umenikumbusha jamaa yangu alizoea kuchek porn pindi tupo chuo. Siku ya siku akaopoa kibinti toka mbagala majimatitu! Si akaona akapagawishe na madesa ya yakunako pornograph kunyonya "papa" na mipagawisho mingneyo ya kizungu kunako 6×6!
Kweli kitoto kikakolea kikamganda kinoma...!!
Baada ya wiki mbili, mwana mdomo ukaanza kuwashawasha hali ikawa tete akatokewa na utando mweupe kwenye kingo za mdomo!
Salaleee! nikamstua mwana wahi kwa daktari kabla mdomo haujamomonyoka kabisaaa!!

Ila navyojua mimi mapenzi hayana kinyaa. Ukiwa mzigoni mvuruge mwenzio nyonya kila sehemu gusa hata pasipofikika mpaka afike tu ili heshima itawale...!
Ukimbwela, siku akikutana na jitu fundi, huyo tena sahau kuwa wako!
Kwanini unawasingizia washkaji zako mapito yako?😄
 
Vipi ikiwa huyo mwanaume naye katoka kuzamia uvinza alikotoka?

Ukiwa muhuni unapata muhuni mwenzio, sheria ya Ulimwengu haibabaishi..!!
Haswa
Hii ni pande zote kwa kweli
Wanawake wanasingiziwa sana
 
Una uhakika kwamba nilichoandika kilinitokea mimi??
Amini kwamba ni jamaa yangu kweli kilimtokea tena ilikua 2007 tukiwa chuo 2nd yr.
Nikilewa mniache
 
Poleni kwa jf kufungiwa.
Kuna utafiti nimekua nikiufanya,nimegundua wanawake wengi huwa wanapenda kunyonya sehemu za siri za wanaume.

Sasa huruma yangu ni hii,mwanamke let's say ni mke wa mtu amechepuka mchana amekuja kwangu Mr kyagata amechezea na kunyonya mti siku nzima,then jioni anarudi kwa mumewe na kujibebisha mara wanaweka uzungu mwingi wenyewe wanaita romance wananyonyana ndimi.
My friends mnalishwa mauchafu mjue!
Tatizo lako ni 👉nguvu za kiume
 
Mimi sjali kumlamba na kumnyony ni lzm, mapenzi c uchafu bali ni hisia.
 
Hivi JF humu kwa jinsi mlivyo na upeo kuna mtu anatoka na mke wa mtu tena kwa kujua na kuamua kabisa???
 
Hapa dsm mademu wanakidhi vigezo kufanya nao romance wanahesabika, wengi wakikutana na michepuko yao ni hodari wa kutuma salamu (kunyonya mike)
 
Back
Top Bottom