Huwa nawahurumia sana wanaume wenye tabia za kunyonyana ndimi na wanawake

Ni uchaf
Ni uchafu na ujinga pro max.Unaeza kutomba hapa na usinawe wala kuoga ukakutana na limwanamke lingine likakunyonya hivyohivyo.Fumbafu thana
 
Janja kodi zetu unakusanya saa ngapi?
 
Sasa kwani akija kwako humbusu mdomoni? Si na wewe pia huwa unapakazwa uchafu kutoka kwa mumewe?
 
Ujanja wako unapoishia ndipo ujinga wa mwengine unaanzia na ujanja wa mwengine unapoanzia.

Sasa kaja kakupa hiyo mbunye lakini kumbe before alikuwa na msela mwengine akapiga kimoko ndio kaja kwako

Automatically na wewe umelishwa huo uchafu na ukute jamaa alimwagia ndani na wewe ukanyonya kabisa

Usijione mjanja kabisa hayanaga mwongozo haya mambo

Ndio maana sitaki kuoa nahangaika na mishangazi tu hii huku makao makuu imejaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…