State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani.
Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na kinadada wawili wapo studio wakichambua mchezo wa kuigiza. Kiukweli nilijisikia vibaya na kupatwa na hasira.
Kwangu haya mambo ni udhalilishaji mtupu. Inabidi yakemewe na kupigwa vita kuanzia ngazi ya familia na kila mtu mwenye mapenzi mema na taifa hili la sivyo...