Huwa siwaelewi kabisa Wanaume wanaofuatilia tamthilia za Kikorea

Huwa siwaelewi kabisa Wanaume wanaofuatilia tamthilia za Kikorea

Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani.

Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na kinadada wawili wapo studio wakichambua mchezo wa kuigiza. Kiukweli nilijisikia vibaya na kupatwa na hasira.

Kwangu haya mambo ni udhalilishaji mtupu. Inabidi yakemewe na kupigwa vita kuanzia ngazi ya familia na kila mtu mwenye mapenzi mema na taifa hili la sivyo...

View attachment 3096603View attachment 3096604
Kuna ujinga Sana katika hii nchi,
Kuna wale wanaosikiliza kipindi cha kipuuzi cha jioni ya, Leo, cha EFM, zaokuna story zao, zimekaa ki ponographic
 
Kwa hiyo unataka kuniambia mimi ambaye ni mpenzi mkubwa wa zie Historical drama za Kikorea pamoja na zile muvi zao chache mfano IRIS!

Vipi na wale ndugu zako wanaopenda Bongo muvi! Unawachukulia kama mashujaa?
Mimi nachopinga ni mwanaume kuangalia michezo ya kuigiza ya kikorea au asia
 
Mkuu,

Kwani tatizo liko wapi? Tamthiliya za Kikorea zina tatizo gani?

Mwanamme ni nani na anatakiwa afuatilie nini?

Nani kapanga hivyo na mamlaka ya kupanga hivyo kayapataje?
Just imagine, baba mwenye nyumba pamoja na house girl wako mnaitana kuangalia tamthilia muda ukifika. . Ukianza Kudharauliwa ndani na beki tatu utamlaumu nani?
 
Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani.

Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na kinadada wawili wapo studio wakichambua mchezo wa kuigiza. Kiukweli nilijisikia vibaya na kupatwa na hasira.

Kwangu haya mambo ni udhalilishaji mtupu. Inabidi yakemewe na kupigwa vita kuanzia ngazi ya familia na kila mtu mwenye mapenzi mema na taifa hili la sivyo...

View attachment 3096603View attachment 3096604
Kuna siku mtakuja kusema mwanaume haruhisiwi kunywa soda, mwanaume anaruhusiwa kunywa bia...
 
Absolutely true. Hili ni janga lilohitaji intervention ya haraka sana.
Facts, unakuta mwanaume yupo kibanda Cha kubani anakwambia nimeishia kipande Cha 839 duuh, ....siingilii faragha ya mtu lakini hili ni tatizo, Bora usome vitabu ila sio series 🄺Ta
 
Kwa maisha ya Bongo ukipata pa kupumulia au chochote Cha kuliwaza kama hicho fanya tu kuliko pombe na urahibu mwengine......mshahara take home laki 5,nyumba laki ishirini watoto2 wanasoma shule za "School bus",hawajaenda chooni ,nauli,ukatwe boom[emoji41] mchepuko,nyumbani kwenu wewe ndo unaangaliwa....hujavaa hujavesha familia [emoji3134][emoji3134]Bado michango ya harusi
 
Facts, unakuta mwanaume yupo kibanda Cha kubani anakwambia nimeishia kipande Cha 839 duuh, ....siingilii faragha ya mtu lakini hili ni tatizo, Bora usome vitabu ila sio series [emoji3064]
Utakuwa umekulia chips burger bila shaka
 
Napatqga ghadhabu sana nikiona kidume kinahqngaika kufatilia huo uchafu na sasa hivi wimbi limeongezeka
 
Just imagine, baba mwenye nyumba pamoja na house girl wako mnaitana kuangalia tamthilia muda ukifika. . Ukianza Kudharauliwa ndani na beki tatu utamlaumu nani?
Bado hujaeleza kwa nini hili jambo si sawa, unapinga nini hasa?
 
GWvl_n8WYAAinXZ.jpg
 
Back
Top Bottom