Huwa siwaelewi kabisa Wanaume wanaofuatilia tamthilia za Kikorea

Hii tabia ya kupangia watu wengine maisha ni ya kishamba sana, watu wakiangalia hizo tamthiliya unapungukiwa nini? Wanaangalizia kwenye tv yako?
 
Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani.

Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na kinadada wawili wapo studio wakichambua mchezo wa kuigiza. Kiukweli nilijisikia vibaya na kupatwa na hasira.

Kwangu haya mambo ni udhalilishaji mtupu. Inabidi yakemewe na kupigwa vita kuanzia ngazi ya familia na kila mtu mwenye mapenzi mema na taifa hili la sivyo...

View attachment 3096603View attachment 3096604
Maisha sio magumu kihivyo mambo mengine usiyachukulie serious.
By the way hao wako kazini wanawapa raia kile wanachopenda.
My favorite korean series. Jumong na Chuno.
Since then sijatazama filamu za kikorea baada ya kuangukiwa kwa the game of thrones
 
Kwa hiyo wewe unachotaka ni kuona tu wanaume wote nchini kuangalia taarifa ya habari, makala na michezo kama wewe! Ila siyo Tamthiliya za Kikorea!
Nimejibu swali nililoulizwa na mdau. Hakuna pahala nimesema ME anapaswa kupenda navyovipenda.
 
Maisha sio magumu kihivyo mambo mengine usiyachukulie serious.
By the way hao wako kazini wanawapa raia kile wanachopenda.
My favorite korean series. Jumong na Chuno.
Since then sijatazama filamu za kikorea baada ya kuangukiwa kwa the game of thrones
Good for you.
 
Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani.

Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na kinadada wawili wapo studio wakichambua mchezo wa kuigiza. Kiukweli nilijisikia vibaya na kupatwa na hasira.

Kwangu haya mambo ni udhalilishaji mtupu. Inabidi yakemewe na kupigwa vita kuanzia ngazi ya familia na kila mtu mwenye mapenzi mema na taifa hili la sivyo...

View attachment 3096603View attachment 3096604
Huyo yupo kazini mtake lazi
 
Huyo jamaa n mwanangu sana ngoja nimtumie link afu akijibu natuma screenshot hapa 😂😂
 
Oya kwani kuangalia hizo series ndo uanaume unaisha au wape tako lako halafu utuletee mrejesho kwamba ulipompa tako alishindwa kukuweka ududu
 
Hizi movie sijui series ni za wanawake sababu kubwa zina utoto mwingi sana!
 
Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani.

Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na kinadada wawili wapo studio wakichambua mchezo wa kuigiza. Kiukweli nilijisikia vibaya na kupatwa na hasira.

Kwangu haya mambo ni udhalilishaji mtupu. Inabidi yakemewe na kupigwa vita kuanzia ngazi ya familia na kila mtu mwenye mapenzi mema na taifa hili la sivyo...

View attachment 3096603View attachment 3096604
Ila wewe unayemfuatilia mwijaku uko sawa!??......
 
Read between lines katika nilichokiandika utaelewa mkuu.
Kwa nini ni read between the lines kitu ambacho unaweza kuandika wazi?

Unaogopa nini?

Haya mambo ya kufichaficha unachotaka kusema between the lines ndiyo uanaume huo?
 
Back
Top Bottom