Huwa siwaelewi kabisa Wanaume wanaofuatilia tamthilia za Kikorea

Huwa siwaelewi kabisa Wanaume wanaofuatilia tamthilia za Kikorea

Series za Kikorea nzuri, Bongo movies za kina Mkojani, Steve Nyerere n.k ndio huwa miyeyusho sana.
 
Huyo jamaa n mwanangu sana ngoja nimtumie link afu akijibu natuma screenshot hapa 😂😂
Jamaa yenu huyu hapa 😂


Screenshot_20240916-220814~2.png
 
Ndio maana hawana hela, ebo! Unakaa kwenye TV masaa 10 umekodelea mimacho tamthilia, utatoa wp hela sasa..
 
Hakuna cha kuchukua apo chochote unaweza fanya bila kujali fulani atasema nini ila kuhusu ep ya832 apo wakunyumba inakua so kweli cheki single za kibabee unapoq kwa style hiyo apo🤒🤒.
 
Back
Top Bottom