State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
- Thread starter
- #21
Kuna vitu kama mwanaume kamili automatically huwezi kuvifanya maana ni kujidhalilisha.Tuko pamoja mkuu nakuunga mkonoš
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna vitu kama mwanaume kamili automatically huwezi kuvifanya maana ni kujidhalilisha.Tuko pamoja mkuu nakuunga mkonoš
Kuna ujinga Sana katika hii nchi,Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani.
Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na kinadada wawili wapo studio wakichambua mchezo wa kuigiza. Kiukweli nilijisikia vibaya na kupatwa na hasira.
Kwangu haya mambo ni udhalilishaji mtupu. Inabidi yakemewe na kupigwa vita kuanzia ngazi ya familia na kila mtu mwenye mapenzi mema na taifa hili la sivyo...
View attachment 3096603View attachment 3096604
Hayo wasema wewe mkuu.Umetoka kazini umetulia kwenye kochi ukaona Sasa utoe kero Yako kubwa inayokusumbua hapa nchini.
Mimi nachopinga ni mwanaume kuangalia michezo ya kuigiza ya kikorea au asiaKwa hiyo unataka kuniambia mimi ambaye ni mpenzi mkubwa wa zie Historical drama za Kikorea pamoja na zile muvi zao chache mfano IRIS!
Vipi na wale ndugu zako wanaopenda Bongo muvi! Unawachukulia kama mashujaa?
Pole mkuu kama nimekukwazaMaisha ni yangu.
Just imagine, baba mwenye nyumba pamoja na house girl wako mnaitana kuangalia tamthilia muda ukifika. . Ukianza Kudharauliwa ndani na beki tatu utamlaumu nani?Mkuu,
Kwani tatizo liko wapi? Tamthiliya za Kikorea zina tatizo gani?
Mwanamme ni nani na anatakiwa afuatilie nini?
Nani kapanga hivyo na mamlaka ya kupanga hivyo kayapataje?
Taarifa ya habari, makala (documentaries), pamoja na michezoWe huwa unafatilia nini?
Kuna siku mtakuja kusema mwanaume haruhisiwi kunywa soda, mwanaume anaruhusiwa kunywa bia...Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani.
Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na kinadada wawili wapo studio wakichambua mchezo wa kuigiza. Kiukweli nilijisikia vibaya na kupatwa na hasira.
Kwangu haya mambo ni udhalilishaji mtupu. Inabidi yakemewe na kupigwa vita kuanzia ngazi ya familia na kila mtu mwenye mapenzi mema na taifa hili la sivyo...
View attachment 3096603View attachment 3096604
Facts, unakuta mwanaume yupo kibanda Cha kubani anakwambia nimeishia kipande Cha 839 duuh, ....siingilii faragha ya mtu lakini hili ni tatizo, Bora usome vitabu ila sio series š„ŗTa
Utakuwa umekulia chips burger bila shakaFacts, unakuta mwanaume yupo kibanda Cha kubani anakwambia nimeishia kipande Cha 839 duuh, ....siingilii faragha ya mtu lakini hili ni tatizo, Bora usome vitabu ila sio series [emoji3064]
Kwa hiyo wewe unachotaka ni kuona tu wanaume wote nchini kuangalia taarifa ya habari, makala na michezo kama wewe! Ila siyo Tamthiliya za Kikorea!Taarifa ya habari, makala (documentaries), pamoja na michezo
Bado hujaeleza kwa nini hili jambo si sawa, unapinga nini hasa?Just imagine, baba mwenye nyumba pamoja na house girl wako mnaitana kuangalia tamthilia muda ukifika. . Ukianza Kudharauliwa ndani na beki tatu utamlaumu nani?