State Propaganda
JF-Expert Member
- Apr 25, 2024
- 542
- 1,286
Maisha tunayopitia sahivi hupaswi kupangia watu maisha, nini wafatilie, nini wapende. Acha kila mtu afatilie kile anachokipenda!!Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani.
Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na kinadada wawili wapo studio wakichambua mchezo wa kuigiza. Kiukweli nilijisikia vibaya na kupatwa na hasira.
Kwangu haya mambo ni udhalilishaji mtupu. Inabidi yakemewe na kupigwa vita kuanzia ngazi ya familia na kila mtu mwenye mapenzi mema na taifa hili la sivyo...
View attachment 3096603View attachment 3096604
Mkuu,Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani.
Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na kinadada wawili wapo studio wakichambua mchezo wa kuigiza. Kiukweli nilijisikia vibaya na kupatwa na hasira.
Kwangu haya mambo ni udhalilishaji mtupu. Inabidi yakemewe na kupigwa vita kuanzia ngazi ya familia na kila mtu mwenye mapenzi mema na taifa hili la sivyo...
View attachment 3096603View attachment 3096604
Facts, unakuta mwanaume yupo kibanda Cha kubani anakwambia nimeishia kipande Cha 839 duuh, ....siingilii faragha ya mtu lakini hili ni tatizo, Bora usome vitabu ila sio series 🥺Hivi karibuni kumeongezeka wimbi la wanaume tena watu wazima kabisa tena wenye familia zao kufuatili tamthilia za kifilipino au kikorea, vitu ambavyo hata ni aibu kuviwaza kichwani.
Mfano, leo jioni nimetulia zangu wakati nabadilisha local channels nikakuta jamaa na midevu yake pamoja na kinadada wawili wapo studio wakichambua mchezo wa kuigiza. Kiukweli nilijisikia vibaya na kupatwa na hasira.
Kwangu haya mambo ni udhalilishaji mtupu. Inabidi yakemewe na kupigwa vita kuanzia ngazi ya familia na kila mtu mwenye mapenzi mema na taifa hili la sivyo...
View attachment 3096603View attachment 3096604
Kabisa mkuu , mwanaume cheki single yako moja kali saa1 na Nusu endelea na mambo mengine ...Facts, unakuta mwanaume yupo kibanda Cha kubani anakwambia nimeishia kipande Cha 839 duuh, ....siingilii faragha ya mtu lakini hili ni tatizo, Bora usome vitabu ila sio series 🥺
Ni aibu kwa kweliKwaiyo iyo picha ya chini jamaa ndo anafanya uchambuzi wa tamthilia za kikorea, kazi kweli kweli
Tuko pamoja mkuu nakuunga mkono
Matendo hayo yote ni ya kulaaniAnayefatilia tamthiliya umemuanzishia uzi Ila juma lokole umemuacha