Huwa siwaelewi kabisa Wanaume wanaofuatilia tamthilia za Kikorea

Series za Kikorea nzuri, Bongo movies za kina Mkojani, Steve Nyerere n.k ndio huwa miyeyusho sana.
 
Ndio maana hawana hela, ebo! Unakaa kwenye TV masaa 10 umekodelea mimacho tamthilia, utatoa wp hela sasa..
 
Hakuna cha kuchukua apo chochote unaweza fanya bila kujali fulani atasema nini ila kuhusu ep ya832 apo wakunyumba inakua so kweli cheki single za kibabee unapoq kwa style hiyo apoπŸ€’πŸ€’.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…