Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,884
- 21,175
- Thread starter
- #21
Ni hatari sana kudhani kuwa mtu kama Trump(pamoja na wehu wake) kuwa pamoja na timu yake wanafanya maamuzi ya kijinga bila lengo fulani.Viwanda haviwezi rudi marekani kama DT anavyofikiri.
Ni wajinga tu wataona Marekani ina potential ya kupokea viwanda na kuacha kwenda Asia( future ya dunia inayokuja around the corner)
Subiri wanaozijua siasa za duniani kuliko huyo mwehu DT nao waanze kuchanga karata zao ndipo itajulikana nani mjanja.
Trump bado ana kiburi cha America supremacy anapoteza vyote mpaka washirika wale waliokuwa wa kuaminika wa marekani.