Huwa tunawacheka nyumbu wengi wakiteswa na simba mmoja. Leo nchi zote duniani zinateswa na US.

Ni hatari sana kudhani kuwa mtu kama Trump(pamoja na wehu wake) kuwa pamoja na timu yake wanafanya maamuzi ya kijinga bila lengo fulani.
 
Simba mmoja sawasawa na nyumbu elfu moja🤣🤣
 
Cha ajabu Marekani inazitesa hata nchi za ulaya, zingine ni washirika wake wa NATO. Nchi jirani zake nazo anazitesa pia. Trump anasema anataka kuifanya Marekani kuwa taifa kubwa tena, MAGA
 
Ni hatari sana kudhani kuwa mtu kama Trump(pamoja na wehu wake) kuwa pamoja na timu yake wanafanya maamuzi ya kijinga bila lengo fulani.
Ni maamuzi ya kijinga

Muda ni mwalimu mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…