Huwa nanunua soda natikisa kama champagne vileeeKila mtu ana namna tofauti ya kushehekea birthday yake
1. Unapiga magoti na kumshukru Mungu
2. Unaalika jamaa na marafiki katika hafla
3. Unaenda bar kupata kinywaji
4 keki laZima ihusike
5. Unawapigia wazazi na kuwatumia zawadi
6. laZima uchinje mnyama
7. Unafunga na kuomba Mungu
8.unatoa sadaka Kwa yatima na wahitaji
9. Unanua simu/gari au kitu kipya
10 hufanyi chochote, unakuja kukumbushwa na sms ya TIGO
Tueleze Huwa unasherehekea vip
Uwa nakumbuka wakati tarehe zimepitaKila mtu ana namna tofauti ya kushehekea birthday yake
1. Unapiga magoti na kumshukru Mungu
2. Unaalika jamaa na marafiki katika hafla
3. Unaenda bar kupata kinywaji
4 keki laZima ihusike
5. Unawapigia wazazi na kuwatumia zawadi
6. laZima uchinje mnyama
7. Unafunga na kuomba Mungu
8.unatoa sadaka Kwa yatima na wahitaji
9. Unanua simu/gari au kitu kipya
10 hufanyi chochote, unakuja kukumbushwa na sms ya TIGO
Tueleze Huwa unasherehekea vip
Huwa Nina Mshukuru Mungu zaidi kwa kuendelea kunipa Afya zaidiKila mtu ana namna tofauti ya kushehekea birthday yake
1. Unapiga magoti na kumshukru Mungu
2. Unaalika jamaa na marafiki katika hafla
3. Unaenda bar kupata kinywaji
4 keki laZima ihusike
5. Unawapigia wazazi na kuwatumia zawadi
6. laZima uchinje mnyama
7. Unafunga na kuomba Mungu
8.unatoa sadaka Kwa yatima na wahitaji
9. Unanua simu/gari au kitu kipya
10 hufanyi chochote, unakuja kukumbushwa na sms ya TIGO
Tueleze Huwa unasherehekea vip
Kila raheli chiefNapima ukimwi
Kwanini😬😂Napima ukimwi
Ndo nini hiki?
Kwa mapenzi yake etKwanini😬😂
Vizuri lakiniKwa mapenzi yake et