Huwa unafanya nini siku ya birthday yako?

Huwa unafanya nini siku ya birthday yako?

Kila mtu ana namna tofauti ya kusherehekea birthday yake

1. Unapiga magoti na kumshukru Mungu
2. Unaalika jamaa na marafiki katika hafla
3. Unaenda bar kupata kinywaji
4 keki laZima ihusike
5. Unawapigia wazazi na kuwatumia zawadi
6. laZima uchinje mnyama

7. Unafunga na kuomba Mungu
8.unatoa sadaka Kwa yatima na wahitaji
9. Unanua simu/gari au kitu kipya

10 hufanyi chochote, unakuja kukumbushwa na sms ya TIGO

Tueleze Huwa unasherehekea vip
Hua naliaaaaaaa...nanyamaza kisha nalia tena!
 
Kila mtu ana namna tofauti ya kusherehekea birthday yake

1. Unapiga magoti na kumshukru Mungu
2. Unaalika jamaa na marafiki katika hafla
3. Unaenda bar kupata kinywaji
4 keki laZima ihusike
5. Unawapigia wazazi na kuwatumia zawadi
6. laZima uchinje mnyama

7. Unafunga na kuomba Mungu
8.unatoa sadaka Kwa yatima na wahitaji
9. Unanua simu/gari au kitu kipya

10 hufanyi chochote, unakuja kukumbushwa na sms ya TIGO

Tueleze Huwa unasherehekea vip
Hbd kwako boss
 
Mchana Natoka na mishangazi kama mm ni kunywa na kulewa chakali, mida ya saa 1 Mr ananifata muda huo wa kufunga ofisi anaacha vijana sababu ofisi inakesha nikifika home nampa game matra ta huku tuna pope champagne.... W'end yake watoto wanakua nyumbani nafanya kisherehe cha kinyumbani nyumbani tunafurahi na familia.
 
Mmeo ndo anafaidi birthday yako
 
Mwanaume hupaswi kujua hata ulizaliwa lini. Ni ujinga wa hali ya juu kabisa mtu kukumbuka sijui siku ya kuzaliwa. So what?
Mnajifanyaga wagumu kumbe warembo tu
Sasa kukumbuka birthday yako Kuna shida gani
 
Back
Top Bottom