Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishakumbuka unapata faida gani? Utakuwa huna kazi za kufanya kukuweka busy ndio maana unapata muda wa kukumbuka petty issues zisizo na faida yoyote.Mnajifanyaga wagumu kumbe warembo tu
Sasa kukumbuka birthday yako Kuna shida gani
Sure mkuu. Kipindi nasoma chuo kuna mabinti wa kiume eti wanajiandaa kabisa kufanya birthday zao na wananipa mwaliko.Naunga mkono hoja.
Mambo ya visherehe vya birthday tuwaachie wanawake.
We unakaaga na genye muda wote itabidi tukuombee
Mniombee Kwa KweRii, maana ninapoelekea ni kumbaka paroko wa kigango.We unakaaga na genye muda wote itabidi tukuombee
Inategemeana na tarehe uliyozaliwa. Mfano kama umezaliwa 28 mwezi wa 9 . Ni ngumu mtu kukumbuka tofauti na wengine ambao siku ikifika, watu wote wanaijua maana ni nyepesi kukaririka, imagine uzaliwe mwaka mpya au christmas, utasahauje mkuuUkishakumbuka unapata faida gani? Utakuwa huna kazi za kufanya kukuweka busy ndio maana unapata muda wa kukumbuka petty issues zisizo na faida yoyote.
Mimi hata ukiniuliza nina miaka mingapi sikumbuki maana jukumu langu ni kutafuta pesa na kufanya mambo muhimu masuala ya umri sina muda nayo labda nione sms ya mitandao ya simu ikinikumbusha basi.
Una laana ya mdomo...😄
Takwimu zinasema kuna vichaa milioni 7 Tanzania.Ukishakumbuka unapata faida gani? Utakuwa huna kazi za kufanya kukuweka busy ndio maana unapata muda wa kukumbuka petty issues zisizo na faida yoyote.
Mimi hata ukiniuliza nina miaka mingapi sikumbuki maana jukumu langu ni kutafuta pesa na kufanya mambo muhimu masuala ya umri sina muda nayo labda nione sms ya mitandao ya simu ikinikumbusha basi.
Hakika mkuuInategemeana na tarehe uliyozaliwa. Mfano kama umezaliwa 28 mwezi wa 9 . Ni ngumu mtu kukumbuka tofauti na wengine ambao siku ikifika, watu wote wanaijua maana ni nyepesi kukaririka, imagine uzaliwe mwaka mpya au christmas, utasahauje mkuu
Kingine hongera kwa kutafuta pess lakini usisahau kujijali mkuu. 🙏🏽
10Kila mtu ana namna tofauti ya kusherehekea birthday yake
1. Unapiga magoti na kumshukru Mungu
2. Unaalika jamaa na marafiki katika hafla
3. Unaenda bar kupata kinywaji
4 keki laZima ihusike
5. Unawapigia wazazi na kuwatumia zawadi
6. laZima uchinje mnyama
7. Unafunga na kuomba Mungu
8.unatoa sadaka Kwa yatima na wahitaji
9. Unanua simu/gari au kitu kipya
10 hufanyi chochote, unakuja kukumbushwa na sms ya TIGO
Tueleze Huwa unasherehekea vip