Huwa unafanya nini siku ya birthday yako?

Huwa unafanya nini siku ya birthday yako?

Napiga ishara ya msalaba namshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai na wazazi alionijalia bila kuwasahau watu walionizunguka.

Namuomba Mungu aniepushe na mabaya yote(laana, mikosi,matatizo, n.k) na anijaze baraka, afya njema na na mafanikio katika mwaka mpya kwangu.

Nikishamaliza hayo ni kuwatafuta wazazi kuwajulia hali basi, siku yangu inakuwa imepita kihivyo ila ndugu zangu sasa wanakotokea na keki zao wanajua wenyewe🙌.
Safi kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom