Huwa unafanya nini siku ya birthday yako?

Hua naliaaaaaaa...nanyamaza kisha nalia tena!
 
Hbd kwako boss
 
Mchana Natoka na mishangazi kama mm ni kunywa na kulewa chakali, mida ya saa 1 Mr ananifata muda huo wa kufunga ofisi anaacha vijana sababu ofisi inakesha nikifika home nampa game matra ta huku tuna pope champagne.... W'end yake watoto wanakua nyumbani nafanya kisherehe cha kinyumbani nyumbani tunafurahi na familia.
 
Mmeo ndo anafaidi birthday yako
 
Mwanaume hupaswi kujua hata ulizaliwa lini. Ni ujinga wa hali ya juu kabisa mtu kukumbuka sijui siku ya kuzaliwa. So what?
Mnajifanyaga wagumu kumbe warembo tu
Sasa kukumbuka birthday yako Kuna shida gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…