Huwa unafanya nini siku ya birthday yako?

Mnajifanyaga wagumu kumbe warembo tu
Sasa kukumbuka birthday yako Kuna shida gani
Ukishakumbuka unapata faida gani? Utakuwa huna kazi za kufanya kukuweka busy ndio maana unapata muda wa kukumbuka petty issues zisizo na faida yoyote.

Mimi hata ukiniuliza nina miaka mingapi sikumbuki maana jukumu langu ni kutafuta pesa na kufanya mambo muhimu masuala ya umri sina muda nayo labda nione sms ya mitandao ya simu ikinikumbusha basi.
 
Naunga mkono hoja.
Mambo ya visherehe vya birthday tuwaachie wanawake.
Sure mkuu. Kipindi nasoma chuo kuna mabinti wa kiume eti wanajiandaa kabisa kufanya birthday zao na wananipa mwaliko.

Nilikuwa nawachana live sitapoteza hata sekunde moja kwenye mambo ya kitoto kama haya hivyo waendelee tu na utoto wao.

Shida ya ngozi nyeusi ni kuiga iga kila kitu kinachofanywa na ngozi nyeupe. Sasahivi ngozi nyeupe wameachana na ujinga wa birthday lakini ngozi nyeusi ndio kwanza zinaendekeza.
 
Watoto na mama yao ndo wananikumbuza....Mzee tuna ka sherehe kidogo leo ...Hivi na mapambano haya huo mda wa kuwaza ulizaliwa lini unapata ...hayo mambo ya watoto.
 
Inategemeana na tarehe uliyozaliwa. Mfano kama umezaliwa 28 mwezi wa 9 . Ni ngumu mtu kukumbuka tofauti na wengine ambao siku ikifika, watu wote wanaijua maana ni nyepesi kukaririka, imagine uzaliwe mwaka mpya au christmas, utasahauje mkuu

Kingine hongera kwa kutafuta pess lakini usisahau kujijali mkuu. 🙏🏽
 
Nitakua wa ajabu kama nimekariri index namba ya form four na ya six halafu sijakariri tarehe niliyozaliwa. Kwa kawaida hua sifanyi chochote, kusherehekea kwamba unasogelea kifo chako is wild
 
Takwimu zinasema kuna vichaa milioni 7 Tanzania.

Sasa kichaa siyo lazima awe rafu na anaokota makopo, sometimes unaangalia mtu anachotamka au kuandika
 
Hakika mkuu
 
Takwimu zinasema kuna vichaa milioni 7 Tanzania.

Sasa kichaa siyo lazima awe rafu na anaokota makopo, sometimes unaangalia mtu anachotamka au kuandika
Ni kujipa ubishi hivi kweli mtu usithamini tarehe ya kuzaliwa
 
10
 
Napiga ishara ya msalaba namshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai na wazazi alionijalia bila kuwasahau watu walionizunguka.

Namuomba Mungu aniepushe na mabaya yote(laana, mikosi,matatizo, n.k) na anijaze baraka, afya njema na na mafanikio katika mwaka mpya kwangu.

Nikishamaliza hayo ni kuwatafuta wazazi kuwajulia hali basi, siku yangu inakuwa imepita kihivyo ila ndugu zangu sasa wanakotokea na keki zao wanajua wenyewe🙌.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…