Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 778
- 2,764
Pole chora hata katuniSimu iko 7%, PC imezima pia๐
๐๐๐ wewe si upo Kigamboni, naelewa unafahamu leo hatuna umemeNacheza mzikiView attachment 2876409
Njoo uchaji jirani yanguSimu iko 7%, PC imezima pia๐
Nipo zangu baharini hapa nachezea maji huku nacheza mziki ๐คฃ๐๐๐๐ wewe si upo Kigamboni, naelewa unafahamu leo hatuna umeme
Hiyo 7% kwangu kwa kusikiliza muziki inatosha sana hata masaa 4 yanapita bila kuzima.Simu iko 7%, PC imezima pia๐
Utakuja upate sonona.. toka nje uongee na Watu๐๐Mimi chakula hakipiti
Kuongea na yoyote nje naona ni adhabu kali๐๐๐. Nagugumia tu matatizo yangu mwenyewe
Ukijichanganya jukwaa unakutana na vichwa vibovu vya jf vinazidi kukuongezea Stress.Na_ Log in kwa JF
Sema Mara nyingi kama usiku hua nalia tu kwa sautiiii๐๐๐๐Kutembea nayo ni best sana huwa naitumia pia hasa kagiza kakiingia, earpods masikioni mziki mkubwa mkono mmoja mfukoni natembea nashangaa shangaa dunia.
Kwahyo wewe ukitoa simu huna kinachoweza kukutoa stress kwa muda? KafueKuchora siwezi, natamani nitoke tu lakini ndio hivyo Leo ni siku mbaya kweli kweli๐
Habari!
Huwa unafanya nini ukiwa stressfully ikiwa hutumii pombe wala starehe ya aina yoyote?
Bad days zinakugaja vibaya sana hazitoi taarifa๐.
Pole sana aisee... Ndo ukubwa huo๐๐Yaani nimeisha ndugu yako๐
๐ Ukilia unaheal?Sema Mara nyingi kama usiku hua nalia tu kwa sautiiii๐๐๐๐