Sitaki Pombe mimiDuuh umekaza ... Umekuja kuazingua π
Na itakuwa ulikunywa sana maana kiu yake sio ya kitoto
Huku ni unyamaFresh arifu sjui huko
Tatizo unakunywa matofaliiii ... Unaijua bia inaitwa Senator πSitaki Pombe mimi
Hebu niambie kitu π π πMimi sisemi nikuambie kitu π naenda moja kwa moja
Namaanisha wewe mwenge kunasemaje hapo ππMwege huu wa uhuru au π?
Kama ni huo basi mbio zake zinaanza siku sio nyingiiii
Naomba laki chap πHebu niambie kitu π π π
Tuone hiyo direct win najua hunaga double chance wewe π€£
Yaani mtu analilia kua singlemazaπ€£Hata mimi nilijua hivyo. Siku moja nikamwambia "niambie dear". Akasema naomba unipe mimba. Daah
Waaapi!!Yaani mtu analilia kua singlemazaπ€£
Ulimpa hiyo mimba?
UongoSio kila anayesema nikuambie kitu atakachokisema ni kuhusu hela.
Sisi wengine tukisema hivo, kinachofuata ni kusema , βnimekumissπβ
Kwahiyo kulea mimba na aliyeibeba hutaki?Waaapi!!
Mtu hata kulipa bill ya soda 2 hawezi, si mzigo huo. Niliona hapa naingizwa king ya kulea mimba na mama mjamzito.
Nakatisha mazungumzo nimweleze mambo yaliyonigharimu pesa usiku wa kuamkia siku hiyoAkitaka kukupa yeye habari za maendeleo yake
Sipo mwenge mkuu! Nipe tabataNamaanisha wewe mwenge kunasemaje hapo ππ
Asalaleee huko nasikia Kuna totoz kibao π πSipo mwenge mkuu! Nipe tabata
Tabata kisukuluuu hakuna loloteAsalaleee huko nasikia Kuna totoz kibao π π
Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga
Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba
Ukikubali, na kusema nambie swali Huwa
1. Nimeishiwa luku nyumbani
2.mama ni mgonjwa
3. Nawaza ada ya mdogo wangu n.k
4.nina safari ya ghafla yani acha tu
Oya kwenye vikao vyenu huko kwenye matawi yetu mlikubaliana muwe mnajibu namna Gani?
Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga
Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba
Ukikubali, na kusema nambie swali Huwa
1. Nimeishiwa luku nyumbani
2.mama ni mgonjwa
3. Nawaza ada ya mdogo wangu n.k
4.nina safari ya ghafla yani acha tu
Oya kwenye vikao vyenu huko kwenye matawi yetu mlikubaliana muwe mnajibu namna Gani?
Ntafka siku moja hukoTabata kisukuluuu hakuna lolote
Wewe pande zipi?Ntafka siku moja huko
Sinza mzee wangu π πWewe pande zipi?