Sitaki Pombe mimiDuuh umekaza ... Umekuja kuazingua 😂
Na itakuwa ulikunywa sana maana kiu yake sio ya kitoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sitaki Pombe mimiDuuh umekaza ... Umekuja kuazingua 😂
Na itakuwa ulikunywa sana maana kiu yake sio ya kitoto
Huku ni unyamaFresh arifu sjui huko
Tatizo unakunywa matofaliiii ... Unaijua bia inaitwa Senator 😂Sitaki Pombe mimi
Hebu niambie kitu 😅😅😅Mimi sisemi nikuambie kitu 😅naenda moja kwa moja
Namaanisha wewe mwenge kunasemaje hapo 😂😂Mwege huu wa uhuru au 😂?
Kama ni huo basi mbio zake zinaanza siku sio nyingiiii
Naomba laki chap 😅Hebu niambie kitu 😅😅😅
Tuone hiyo direct win najua hunaga double chance wewe 🤣
Yaani mtu analilia kua singlemaza🤣Hata mimi nilijua hivyo. Siku moja nikamwambia "niambie dear". Akasema naomba unipe mimba. Daah
Waaapi!!Yaani mtu analilia kua singlemaza🤣
Ulimpa hiyo mimba?
UongoSio kila anayesema nikuambie kitu atakachokisema ni kuhusu hela.
Sisi wengine tukisema hivo, kinachofuata ni kusema , “nimekumiss😍”
Kwahiyo kulea mimba na aliyeibeba hutaki?Waaapi!!
Mtu hata kulipa bill ya soda 2 hawezi, si mzigo huo. Niliona hapa naingizwa king ya kulea mimba na mama mjamzito.
Nakatisha mazungumzo nimweleze mambo yaliyonigharimu pesa usiku wa kuamkia siku hiyoAkitaka kukupa yeye habari za maendeleo yake
Sipo mwenge mkuu! Nipe tabataNamaanisha wewe mwenge kunasemaje hapo 😂😂
Asalaleee huko nasikia Kuna totoz kibao 😂 😂Sipo mwenge mkuu! Nipe tabata
Tabata kisukuluuu hakuna loloteAsalaleee huko nasikia Kuna totoz kibao 😂 😂
Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga
Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba
Ukikubali, na kusema nambie swali Huwa
1. Nimeishiwa luku nyumbani
2.mama ni mgonjwa
3. Nawaza ada ya mdogo wangu n.k
4.nina safari ya ghafla yani acha tu
Oya kwenye vikao vyenu huko kwenye matawi yetu mlikubaliana muwe mnajibu namna Gani?
Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga
Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba
Ukikubali, na kusema nambie swali Huwa
1. Nimeishiwa luku nyumbani
2.mama ni mgonjwa
3. Nawaza ada ya mdogo wangu n.k
4.nina safari ya ghafla yani acha tu
Oya kwenye vikao vyenu huko kwenye matawi yetu mlikubaliana muwe mnajibu namna Gani?
Ntafka siku moja hukoTabata kisukuluuu hakuna lolote
Wewe pande zipi?Ntafka siku moja huko
Sinza mzee wangu 😂 😂Wewe pande zipi?