Huwa unajibu vipi swali " nikwambie kitu"

Huwa unajibu vipi swali " nikwambie kitu"

Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga

Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba

Ukikubali, na kusema nambie swali Huwa
1. Nimeishiwa luku nyumbani
2.mama ni mgonjwa
3. Nawaza ada ya mdogo wangu n.k
4.nina safari ya ghafla yani acha tu

Oya kwenye vikao vyenu huko kwenye matawi yetu mlikubaliana muwe mnajibu namna Gani?
"Nilishaambiwa"
 
Mm jana nimemmisi pisi fulani nikaisalimia tu kwa njia ya sms...ile kunipa jibu la kwanza kuitika salamu yng si akaunganisha na "yan nipo mweupe hapa hata hela ya kula sina nisaidie nadugu yng" 😅 nilijuta kwakweli
 
Hili swali likija kutoka Kwa pisi ujue unaomba pesa au unapigiwa mzinga

Ukiwa una chart nae akakwambia ati akuulize kitu, huwa unajitoaje kwenye mdogo wa Simba

Ukikubali, na kusema nambie swali Huwa
1. Nimeishiwa luku nyumbani
2.mama ni mgonjwa
3. Nawaza ada ya mdogo wangu n.k
4.nina safari ya ghafla yani acha tu

Oya kwenye vikao vyenu huko kwenye matawi yetu mlikubaliana muwe mnajibu namna Gani?
naijua hiyo!
 
Basi wako tofauti, my wife akisema nimwambie kitu, utasikia au basiii ujuee hapo anataka mambo mambo ewe, tararatatat mambo mambo eeee, kwahiyo hapo huwa najua natakiwa niwah kurudi nyumban
Hapo mke umepata
 
Back
Top Bottom