Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Tatizo la bata akiwa na beef na wewe huwa anaangalia sehem ya kukufanyia ushenzi.Kipindi nipo mdogo kuna bata mzinga alikua na beef na mimi dah sikuishi kwa raha kila akiniona anatanua mabawa ananikimbiza
Beef lilidumu kwa mwezi mzima mpaka alipochinjwa
Unaweza kuwa umetoka zako chooni kuoga huku umejifunga kitaulo chako, ghafla anatokea nyuma yako na kukurukia. Sasa wewe kwa mshtuko itabidi utoke nduki huku taulo likiwa limeanguka na mzigo ukiwa nje unaning'inia 😂🤣🤣