Huwa unamuamini asilimia ngapi mwenyeji wako anapokwambia usiogope, Mbwa wake hang'ati?

Huwa unamuamini asilimia ngapi mwenyeji wako anapokwambia usiogope, Mbwa wake hang'ati?

Kipindi nipo mdogo kuna bata mzinga alikua na beef na mimi dah sikuishi kwa raha kila akiniona anatanua mabawa ananikimbiza

Beef lilidumu kwa mwezi mzima mpaka alipochinjwa
Tatizo la bata akiwa na beef na wewe huwa anaangalia sehem ya kukufanyia ushenzi.
Unaweza kuwa umetoka zako chooni kuoga huku umejifunga kitaulo chako, ghafla anatokea nyuma yako na kukurukia. Sasa wewe kwa mshtuko itabidi utoke nduki huku taulo likiwa limeanguka na mzigo ukiwa nje unaning'inia 😂🤣🤣
 
Aisee sisi tushawahi kufuga bata nawajua vizuri. Ni wakorofi vibaya mno afu bata anaweza kudindishiana hata na mbuzi. Kwa watu ambao washafuga bata au kuishi karibu na wafuga bata nazani wanafaham ninachoandika.

Ila kama tulivyo binadam kuna bata wengine ni wazembe wazembe ukisogea linatoka nduki.
Duh
 
Tatizo la bata akiwa na beef na wewe huwa aangalia sehem ya kukufanyia ushenzi.
Unaweza kuwa umetoka zako chooni kuoga huku umejifunga kitaulo chako, ghafla anatokea nyuma yako na kukurukia. Sasa wewe kwa mshtuko itabidi utoke nduki huku taulo likiwa limeanguka na mzigo ukiwa nje unaning'inia 😂🤣🤣
Hahah bifu huwa linadumu kwa siku ngapi
 
Karibu sana mgeni! Usiogope Mbwa wangu hawang'ati!

Hii kauli huwa unaiamini asilimia ngapi ? Kuwa tu mkweli kabla sijakwambia jambo!
View attachment 2453454
Imenitokea juzi tu, niliwaamini asilimia 100% japo mbwa wao walikuwa wakija mpaka kusimama miguu ya mbele ikiwa kwenye kifua changu, sikuwaogopa, kwani hawakuonesha Nia ya kunikwaruza, ni kukutisha.
Miezi kadhaa pia kuna mbwa kwetu, hakua ananijua kwani siishi hapo muda wote, yeye alikuwa anang'ata kiaina, kwamba unaona sehemu ya suruali kwa chini mguuni imo mdomoni mwake, Ila pia unaona ni kitisho tu hana nia ya kukujeruhi.
 
Hahah
 
Tatizo la bata akiwa na beef na wewe huwa aangalia sehem ya kukufanyia ushenzi.
Unaweza kuwa umetoka zako chooni kuoga huku umejifunga kitaulo chako, ghafla anatokea nyuma yako na kukurukia. Sasa wewe kwa mshtuko itabidi utoke nduki huku taulo likiwa limeanguka na mzigo ukiwa nje unaning'inia [emoji23][emoji1787][emoji1787]
Jau sana hao bata[emoji23][emoji23]
 
Jau sana hao bata[emoji23][emoji23]
😂😂😂 bata jau sana, ni kama kunguni hujificha ndan ya mfuko wa shati au suruali, pindi unapokuwa kwenye basi au mkusanyiko wa watu unaoheshimiana nao ndo hujitokeza ghafla mbele yao 🤣🤣
 
Tumetofautiana kaka mimi katika kitu ambacho Siogopi ni wanyama wa kufugwa kama Mbwa maana ni wanyama Mungu aliotupa uwezo juu yao na sisi Ndio master wao hapa duniani sasa kwanini tuwaogope, wao inabidi watuogope sisi
Nasikia ukiona mbwa kalala ili asiamke ukiwa unapita inatakiwa ushikilie mbupu inasaidia
 
Back
Top Bottom