Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
Tatizo la bata akiwa na beef na wewe huwa anaangalia sehem ya kukufanyia ushenzi.Kipindi nipo mdogo kuna bata mzinga alikua na beef na mimi dah sikuishi kwa raha kila akiniona anatanua mabawa ananikimbiza
Beef lilidumu kwa mwezi mzima mpaka alipochinjwa
DuhAisee sisi tushawahi kufuga bata nawajua vizuri. Ni wakorofi vibaya mno afu bata anaweza kudindishiana hata na mbuzi. Kwa watu ambao washafuga bata au kuishi karibu na wafuga bata nazani wanafaham ninachoandika.
Ila kama tulivyo binadam kuna bata wengine ni wazembe wazembe ukisogea linatoka nduki.
Hahah bifu huwa linadumu kwa siku ngapiTatizo la bata akiwa na beef na wewe huwa aangalia sehem ya kukufanyia ushenzi.
Unaweza kuwa umetoka zako chooni kuoga huku umejifunga kitaulo chako, ghafla anatokea nyuma yako na kukurukia. Sasa wewe kwa mshtuko itabidi utoke nduki huku taulo likiwa limeanguka na mzigo ukiwa nje unaning'inia ππ€£π€£
Inategemea akiona unampotezea sana inafika kipindi anaamua kukupotezea na wewe. Ila ukijifanya mtu wa kujishtukia shtukia na kuchachawa kila wakati basi beef litaendelea kila atapokuwa anakuona bwege wake.Hahah bifu huwa linadumu kwa siku ngapi
Imenitokea juzi tu, niliwaamini asilimia 100% japo mbwa wao walikuwa wakija mpaka kusimama miguu ya mbele ikiwa kwenye kifua changu, sikuwaogopa, kwani hawakuonesha Nia ya kunikwaruza, ni kukutisha.Karibu sana mgeni! Usiogope Mbwa wangu hawang'ati!
Hii kauli huwa unaiamini asilimia ngapi ? Kuwa tu mkweli kabla sijakwambia jambo!
View attachment 2453454
HahahImenitokea juzi tu, niliwaamini asilimia 100% japo mbwa wao walikuwa wakija mpaka kusimama miguu ya mbele ikiwa kwenye kifua changu, sikuwaogopa, kwani hawakuonesha Nia ya kunikwaruza, ni kukutisha.
Miezi kadhaa pia kuna mbwa kwetu, hakua ananijua kwani siishi hapo muda wote, yeye alikuwa anang'ata kiaina, kwamba unaona sehemu ya suruali kwa chini mguuni imo mdomoni mwake, Ila pia unaona ni kitisho tu hana nia ya kukujeruhi.
Mimi huwa namuamini asilimia 2%...Karibu sana mgeni! Usiogope Mbwa wangu hawang'ati!
Hii kauli huwa unaiamini asilimia ngapi ? Kuwa tu mkweli kabla sijakwambia jambo!
View attachment 2453454
Jana siku ya Christmas kuna mgeni wa jilan kang'atwa wenyeji walimuacha nyuma wakati wa kuingia ndani mguu ukadakwa!Mimi huwa namuamini asilimia 2%...
Ukute na mwenyeji wako anaangukaga kifafa ndo utajua siku hiyo maana! Watahisi umemumiza wakuchane chaneLabda mbwa mwenyewe aseme hang'ati ndio nitaamini...
Kwanza MBWA ni tusi!
Hakuna hyo kitu.Asilimia 100 Kwa maana hata mbwa awe wa wapi mimi hawezi ningata mbwa ni kiumbe rahisi sana kumtawala ukishaijua saikolojia ambayo ni simple tu kuonyesha humuogopi na kutulia hata akikutishia
Hahahahahahaha dah nyie watu.
Sitaki kabisa kuzoeana na mbwa!Ukute na mwenyeji wako anaangukaga kifafa ndo utajua siku hiyo maana! Watahisi umemumiza wakuchane chane
Inabidi kumwambia kabisa fungia mbwa wako ndo niingie ndani au siyo! Kama hataki unaondoka!Sitaki kabisa kuzoeana na mbwa!
MBWA yeyote yule awaye! [emoji1][emoji23]
Jau sana hao bata[emoji23][emoji23]Tatizo la bata akiwa na beef na wewe huwa aangalia sehem ya kukufanyia ushenzi.
Unaweza kuwa umetoka zako chooni kuoga huku umejifunga kitaulo chako, ghafla anatokea nyuma yako na kukurukia. Sasa wewe kwa mshtuko itabidi utoke nduki huku taulo likiwa limeanguka na mzigo ukiwa nje unaning'inia [emoji23][emoji1787][emoji1787]
5%Karibu sana mgeni! Usiogope Mbwa wangu hawang'ati!
Hii kauli huwa unaiamini asilimia ngapi ? Kuwa tu mkweli kabla sijakwambia jambo!
View attachment 2453454
πππ bata jau sana, ni kama kunguni hujificha ndan ya mfuko wa shati au suruali, pindi unapokuwa kwenye basi au mkusanyiko wa watu unaoheshimiana nao ndo hujitokeza ghafla mbele yao π€£π€£Jau sana hao bata[emoji23][emoji23]
Tumetofautiana kaka mimi katika kitu ambacho Siogopi ni wanyama wa kufugwa kama Mbwa maana ni wanyama Mungu aliotupa uwezo juu yao na sisi Ndio master wao hapa duniani sasa kwanini tuwaogope, wao inabidi watuogope sisi
Nasikia ukiona mbwa kalala ili asiamke ukiwa unapita inatakiwa ushikilie mbupu inasaidiaTumetofautiana kaka mimi katika kitu ambacho Siogopi ni wanyama wa kufugwa kama Mbwa maana ni wanyama Mungu aliotupa uwezo juu yao na sisi Ndio master wao hapa duniani sasa kwanini tuwaogope, wao inabidi watuogope sisi
Mwanamke atashka nni mkuuNasikia ukiona mbwa kalala ili asiamke ukiwa unapita inatakiwa ushikilie mbupu inasaidia