cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sometimes unaweza kufikiri labda jamaa mwenye mbwa kanileta makusudi ili nije kuwa kitoweo cha mbwa wake.
Taratiib utaanza kusikia kiushuzi kinatoka chenyew huku ukipumua kwa namna isiyokuwa ya kawaida yako, na wakati huo mbwa nao wanaangalia movement yako ili ukijichanganya tu wakuoneshe kazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app