Huwenda hii ikawa ndio sababu ya kubadilishwa kwa noti za Tanzania

gstar

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
790
Reaction score
1,373
Mwaka fulani nilipomaliza chuo kikuu nikiwa bado kupata ajira rasmi niliamua kutafuta kazi nje ya kile nilichosomea chuoni. Kwani nilipokuwa o-level shule ya ufundi nilisomea ufundi wa kupaka rangi, hivyo niliamua kutafuta kazi hiyo ili niweze kusurvive ndani ya jiji la DSM huku nikiendelea kutafuta kazi ya kile nilichosomea chuo kikuu.

Ndipo nilipopata kazi ya kupaka rangi kwenye ghorofa moja kule Kariakoo, niliifanya kazi ile vizuri na kumpendeza foreman aliyekuwa akisimamia kazi ile ndipo akanichukua mimi na mwenzangu na kunipeleka kwenye jumba moja la kifahari huko Mikocheni kwa ajili ya kufanya kazi ya sceaming na kupaka rangi.

Nilichokikuta huko ndicho kilichonifanya niandike uzi huu, kwani nyumba hiyo ilikuwa ikimilikiwa na wafanyabiashara wenye asili ya ki-asia. Hawa watu huwa targeted sana na wanasiasa hasa kwakuwa humiliki viwango vikubwa vya fedha walivyowekeza kwenye benki zetu za biashara. Kuna mbinu huitumia ili kukwepa vikwazo hivyo haswa inapokaribia kipindi cha uchaguzi mkuu.

Kipindi cha uchaguzi ni kipindi ambacho serikali moja huondoka na serikali nyingine kuingia madarakani, ni katika kipindi hicho kwamba fedha zao huwa mashakani. Fedha zao zilizopo kwenye mabenki huweza kutaifishwa ama kuzuiliwa kwa sababu kadhaa, hivyo huamua kufanya kile nilicho kishuhudia. Kuchimba mashimo mithili ya mahandaki ndani ya nyumba zao, kwenye sakafu au ukutani au hata darini hutengeneza masanduku ya siri ambayo ni vigumu sana kuyatambua.

Ndani ya mashimo hayo ndipo hutumia kuhifadhi fedha hizo, hutoa fedha zao nyingi kutoka kwenye mzunguko na kuzichimbia kwenye mahandaki ya siri yaliyoko kwenye majumba yao, lengo kuu likiwa kuhifadhi fedha hizo kwa usalama wa mitaji yao ya kibiashara, na huja kuzitoa na kuzirudisha tena kwenye mzunguko pale serikali mpya itakapo simikwa na wakijihakikishia kuwa maslahi yao yatalindwa.

Kwahivyo kitendo hicho ndicho kinachofanya uchumi wa nchi kudorora hasa inapokaribia kipindi cha uchaguzi kwani fedha nyingi zinakuwa zimeondolewa kwenye mzunguko na pia wafanyabiashara hujiepusha kufanya uwekezaji mkubwa ama kutumia pesa nyingi kwenye biashara zao kitendo kinachoweza kusababisha upungufu wa fedha kwenye mzunguko wa kiuchumi.

Kwa serikali kutangaza ulazima wa kubadilisha fedha kwa kipindi hiki tunachoelekea kwenye uchaguzi mkuu, kitawalazimisha wafanyabiashara wote haswa wale walioficha fedha kwenye mahandaki kuzitoa na kuzirudisha kwenye mzunguko kwani wasipo fanya hivyo wanaweza kupoteza fedha zao moja kwa moja, lakini kwa serikali itakuwa ni faida kwa kurudisha fedha zilizofichwa kwenye mzunguko wa kawaida hivyo kuhuisha uchumi wa nchi.

Swali la kujiuliza ni kwamba tutaendelea na utaratibu huu mpaka lini wa kubadilisha noti kila tunapo amua kufanya hivyo? Vipi kwa mataifa yaliyo endelea yamewezaje kudhibiti kupanda kwa gharama za maisha na kuadimika kwa fedha zao bila ya kutumia mbinu hii ya kubadilisha fedha ili kuzitoa fedha zilizofichwa kurudi tena kwenye mzunguko? Tuige kwa mataifa hayo ili kuepuka kubadilisha noti zetu mara kwa mara, tutambue kwamba noti na sarafu ni utambulisho wa kitaifa na sidhani kama ni jambo jema kubadilisha utambulisho huo kila mara.

Nawasilisha.
Screenshot_20241027-005833.png
 
Out of context, kwani mimi nikienda kufukua masanduku yangu nikatoa bilioni moja huko chini yana manoti yale ya zamani ya blue ya elfu kumi kumi makubwa. Nikaenda kubadilisha bank, nikapewa hizi za sasa kisha nikarudi nyumbani na kuzifukia tena chini, kuna tofauti gani?
 
Uliza usaidiwe..unadhani ni rahisi hivyo unavyodhani
 
View attachment 3136171
Seri ya mafikio ya nchi nyingine ni utawala wa sheria na taasisi zisizo yumbishwa na wanasiasa.
 
Okay kumbe?
 
Kwa mara ya mwisho kubadili noti nchi ilikuwa wakati wa Kikwete na jamaa yake Mkulo aliyeleta noti uchwara zisizo na ubora
 
Out of context, kwani mimi nikienda kufukua masanduku yangu nikatoa bilioni moja huko chini yana manoti yale ya zamani ya blue ya elfu kumi kumi makubwa. Nikaenda kubadilisha bank, nikapewa hizi za sasa kisha nikarudi nyumbani na kuzifukia tena chini, kuna tofauti gani?
Lazima uzitolee maelezo mkuu...
Hili suala lilishawahi kufanywa na serikali ya Mordi 3 years ago huko India.
 
we huumwi kweli watu wananunua dhahabu wanaficha mzigo wa fedha hawataki sahivi
So unafkiri Hawajui hii mbinu mkuu,,,hivi watu huwa mnaonaga serikalini hamnaga smart people?
Hii mbinu unayotaja ni imekuwa used miaka na miaka na ni suala la kawaida katika investment...So tayari wanajua namna gani ya kuwabana...
Ni suala la maamuzi tu.
 
Inawezekana wapo wanaoficha hela na wa Tanzania walivyo sijui kama watazibadilisha.

Notisi ni fupi sana, walau wangetoa mwaka mmoja ili hela iondoke kidogo kidogo kwenye mzunguko.

Nakumbuka miaka ile mzee wangu kitu kilichokuwa kinamfanya aende mjini ni kubadili hela huku akiwa amevaa nguo nyingi nyingi na kusunda noti kibindoni.

Ukweli noti nyingine zimechoka but naamini lengo ni kuweka sura zao.
 
Nahisi alichoongea mtoa mada kinaleta maana

Hata magufuli aliwahi kusema kuwa atabadilisha hela ili km umetunza ndani iwe hasara
 
Inawezekana wapo wanaoficha hela na wa Tanzania walivyo sijui kama watazibadilisha.

Notisi ni fupi sana, walau wangetoa mwaka mmoja ili hela iondoke kidogo kidogo kwenye mzunguko.

Nakumbuka miaka ile mzee wangu kitu kilichokuwa kinamfanya aende mjini ni kubadili hela huku akiwa amevaa nguo nyingi nyingi na kusunda noti kibindoni.

Ukweli noti nyingine zimechoka but naamini lengo ni kuweka sura zao.
Ukibadilisha noti au usipobadili haibadilishi hali ya Uchumi.
Zaidi ya gharama tu.

Israeli hadi leo wanatumia Sarafu ya Shekeli pesa iliyokuwepo Enzi za Ibrahimu
 
Back
Top Bottom