Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Unachoongea na kukipinga haukijui.Hizo sura zao hazitowekwa hapo
Juzi juzi tu humu Jf ilivuja picha ya noti mpya ya 10,000 rangi ya kijani yenye sura ya Samia.
Baadaye wajitokeza kukanusha!