Huwezi amini huyu ni mtoto wa kiume

Sasa hizo comments tuu..
An daah nabaki nacheka 🤓🤓🤓
Tuu kumbe na PHY ulipiga..
Ndo mana kichwa kimekua confused sana🤓🤓🤓🤓
 
Kwan mpyaa? Huyu si alikua na yule baba wa mjengoni ana cheo kikubwa tyuuh sahiv hapo ndani, ana asili ya nje.

Kamlaaaa sanaaaaaaa na kamdamp.
Legeza kodi, ujue saa hizi kichwa yangu mambo mengi, mchele tumepanda bei, wiki ya 3 hii nyumbani wanakula nguna, wifi yako kagoma kunipa raha dunia I, mwenye nyumba nae anataka kupandisha kodi, mtoto madaftari yameisha yote kwa mkupuo, kuna mchango mtoto wa mjomba anaona basi balaa tu 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] code nyepesi kabisaaa.
Aaah wee.
 
Sasa hizo comments tuu..
An daah nabaki nacheka 🤓🤓🤓
Tuu kumbe na PHY ulipiga..
Ndo mana kichwa kimekua confused sana🤓🤓🤓🤓
A level nilipiga PCM..

PHYSICS haijanichanganya ni maji tu, ila hawa wanaume wanakimbilia upande wa pili ndio wananivuruga kwamba raha ya kudinya hawataki sasa wanataka kudinywa..😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] code nyepesi kabisaaa.
Aaah wee.
Maisha ya niumize kichwa hata huyu Rehema nae niumize kichwa.. Simplify, gawanya kwa 2 kila upande.. X=?
😂🤣
 
Maisha ya niumize kichwa hata huyu Rehema nae niumize kichwa.. Simplify, gawanya kwa 2 kila upande.. X=?
[emoji23][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…