Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

Aliivamia Marekani akaichapa[emoji23][emoji23], ulizia Genaral Soleimani aliko, yuko ahera madukani[emoji1787][emoji1787]
baada ya soleiman kufa unajua nini kilifata ha ha ha ha kambi ya kijeshi iligeuzwa magofu ya sobibo ha ha ha ha paka leo marekani hana hamu na iran hata kidogo. Juzi wakimbizwa afghanistan kama popo mwitu ha ha ha ha ha wavaa makobasi is next level
 
Ni kweli wanataka lakini bado hawajaingia NATO, redline ni Ukraine kuingia NATO.
pia NATO wenyewe hawaitaki Ukraine kuwa mwanachama ni basi wanajikosha kwa kuwa wanaona Urusi anawaingilia kwenye mambo yao.

China kuwa upande wa Urusi ina faida kwake kumbuka yeye mwenyewe ana mgogoro wa Taiwan lakini hata China asipopiga kura bado Urusi inaweza kuzuia resolution kwa kuwa ni mwanachama wa kudumu.

Marekani na nchi za ulaya kwa ujumla zimeanza kuvamia nchi dhaifu zaidi ya miaka 100 iliyopita na hadi leo bado wanaendelea kwahiyo kama ni precedence tayari ipo wala Urusi haitokuwa nchi ya kwanza.
 
baada ya soleiman kufa unajua nini kilifata ha ha ha ha kambi ya kijeshi iligeuzwa magofu ya sobibo ha ha ha ha paka leo marekani hana hamu na iran hata kidogo. Juzi wakimbizwa afghanistan kama popo mwitu ha ha ha ha ha wavaa makobasi is next level
Watu wanaua top leader wewe unalipa kwa kubomoa ukuta!![emoji2][emoji2] Mbona hiyo hata Mimi naweza[emoji2]. Kwa taarifa yako Soleimani alikuwa kiongozi wa pili mwenye ushawishi na nguvu nchini Iran. Na pia Iran ilipata hasara nyingine ya raia wake zaidi ya mia kuuwawa kwenye ajali ya ndege ya michongo[emoji3][emoji3].
 
US pekeyake hawezi kitu angalia vita ya kuisambaratisha Afighanistan na Iraq aliomba msaada mataifa kibao lakn anaepigananae yupo alone. Hata kumpiga Gaddaf alikuwa yy na Ufaransa.
Uko sahihi, ukisikia mikwara ya Marekani unaweza kudhani anaweza kupigana na Urusi, kumbe wala hawezi, anakimbilia kuweka vikwazo. Wakati Urusi wamechukua jimbo la Crimea toka Ukraine, Marekani iliwalazimisha Ulaya Magharibi ziweke vikwa zodhidi ya Urusi. Wakafanya hivyo. Wakasahau kwamba bidhaa zao nyingi (maziwa, nyama, bidhaa za ngano nk) soko lake ni Urusi na wao wanatemegea gesi na mafuta toka Urusi. Wakajikuta Urusi nae anapiga marufuku mazao na bidhaa kutoka Ulaya Mgaharibi, vikwazo vikaumiza wao wenyewe. Kimsingi Urusi na China ni marafiki na majirani wazuri, vikwazo havitaiathiri sana Urusi, vitaathiri Ulaya Magharibi. Tega sikio
 
vyovyote ile trump alipa kulipa kisasi lakin mpaka leo kimya ha ha ha ha ha kumbe trump aliona ligi na iran haiwez ha ha ha ha ha aendelee ku deal na al shabab ha ha
 
vyovyote ile trump alipa kulipa kisasi lakin mpaka leo kimya ha ha ha ha ha kumbe trump aliona ligi na iran haiwez ha ha ha ha ha aendelee ku deal na al shabab ha haView attachment 2096249
Yeye aliua Top leader wa Iran hadi sasa Iran haijalipa kisasi, kubomoa ukuta na kudhani ndo kisasi cha Soleimani ni kumdhalilisha na kumkosea heshima General Soleimani. Ni kujitekenya na kucheka mwenyewe[emoji23][emoji23].
 
huna jipyaaaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23]Fanyeni kitu kwa ajili ya kifo cha shujaa General Soleimani, msijitekenye na kucheka kwa kubomoa ukuta[emoji2][emoji2], bado general anawadai kisasi chake, ua hata yule General Mad Dog na tena kwa Sasa hayuko madarakani na kwa vyovyote vile atakuwa alihusika kupitisha shambulio lililondoa uhai wa Soleimani, mkifanya hivyo Soleimani atafurahi sana huko aliko[emoji1787]
 
Umechangia vizuri na huu ni mjadala was kawaida tu.
Sasa kulikua na haja gani kuniita punguani.
Mimi nimetoa maoni yangu,nawe umetoa yako Tena vizuri tu.ulichoharibu ni kuniita punguani.asante kwa hilo pia Asante kwa maoni yako mazuri yenye data.
Mnaitwa mapunguani kwa kushabikia story zenu za kwenye kahawa.... Wengi mnaaminishwa marekani anaiogopa Russia... Nimesoma mchango wako kweli wewe ni punguani kabisa[emoji41]
 
Mnaitwa mapunguani kwa kushabikia story zenu za kwenye kahawa.... Wengi mnaaminishwa marekani anaiogopa Russia... Nimesoma mchango wako kweli wewe ni punguani kabisa[emoji41]
hapa Jf nchi inayopigwa na marekani ni burundi tu ila zingine zote zinaipiga marekani[emoji23][emoji23].
Kuna vituko Jf hadi raha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]wamarekani wa buza banaa[emoji16] wanavyoota ndoto za mchana
 
Kwa Mtanzania mwenye akili ya kijiweni sio rahisi kueleweka.
Mchina kwa trend yake hana future nzuri kibiashara, biashara ni jina tu.
Ww pwehe kweli yaani na maisha yako hutoona future nzuri ya china wakati gentoni kwako kumejaa vifaa vya kichona huku ukitumia made in China kutype huu upupu
 
Waulize humu kuanzia wanavyovaa, wanavyotumia mpaka walivyonavyo kwenye mageto yao walete kimoja tu made in amerika [emoji23], hawa jamaa ni wapumbavu sana
 
Kuna watu bado wanamdoto humu hawataki kuamini
 
Porojo jingi unajua jana Marekani kasema hatopeleka wanajeshi mgogoro wa Russia na Ukraine bali atapeleka silaha tu na mahement [emoji16]
 
Siku marekani ikiwa overthrown kama nchi superior duniani..jua usalama na amani ya dunia umeisha..

#MaendeleoHayanaChama
Wapuuzi ndio mnaamini hivyo, lakini hamjui kuwa huyo ndio kinara wa ugaidi na anaongoza kuuwa mamilioni ya watu na kuzigawa nchi ? Hivi nyinyi mnafkiria kwa kutumia nini kama si makalio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…