Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

Mrusi keshampiga Ukraine nini kimetokea?? ushabiki maandazi
 
Bila kushirikiana hakuna mafanikio .na kama kweli mrusi mbabe awapige ukraine .mjomba acha ushabiki wa simba na yanga . Liogope sana taifa la marekani kwenye kila Nyanja unayoijua wewe bila marekani hakuna Amani duniani ukubali ukatae ukweli ndio huo
koment ya hovyo kabisa
nyie ndio mmefanya yule mpuuzi alekichapo kule kwahuu uropokwaji wenu usokichwa wala miguu
mnapoiongelea RUSSIA mnaona kama mnaiongelea CHAD eeeh
mue mnaongea kwa akili
 
kama anaweza aingilie ukiona unaleta sababu zakutokuweza kwake ujue ndio hawezi hakuna zaidi
 
Mchina kwanza hata vita haviwezi wala propaganda.

Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
 
Bila kushirikiana hakuna mafanikio .na kama kweli mrusi mbabe awapige ukraine .mjomba acha ushabiki wa simba na yanga . Liogope sana taifa la marekani kwenye kila Nyanja unayoijua wewe bila marekani hakuna Amani duniani ukubali ukatae ukweli ndio huo
Vipi sasa kapigwa shoga yako unatamani ufute jumbe hii
 
Remember it’s only democrat is party rely on NATO .Republicans no way
 
Marekani anaiogopa russia sio kwasababu hana nguvu, bali ni kwasababu anajua maana na madhara ya nukes. alisha experience icho na ni ghost inayomhunt hadi leo anajilaumu kwanini alibonyeza ile batton (hiroshima and nagasaki). nuklia sio mchezo. hao wazungu wengine ni mbwa tu wanabwekabweka hawajui kitu.
 
marekani kwa mrusi ni sawa na mbwa Koko,anayepiga biti kwa kubweka huku anaangalia upenyo wa kutolokea .[emoji28]
 
Watu mna chekesha someni historia. Walitoa hayo mabomu na bado marekani aliweka yake turkey na rusia hakusema lolote
 
hilo jina baya mnalonyie tu ila karibu dunia nzima inaelewa kama nipropaganda zenu dhidi ya UCHINA kama unaamini anajina baya mbona bado anafanya vyema kweye uga wabiashara ulimwenguni ndani ya UCHINA na nje ya UCHINA
Marekani ana uza silaa za billions of dilar wewe una uza earphones wapi na wapi
 
Bado Marekani huyohuyo amekusanya mataifa mengi wameungana kwaajili ya kuikabili Urusi lakini bado wameishia kwenye taarabu
Vita ya Urusi na Nato/Marekani itaipeleka dunia wapi? Nchi hizi zina mabomu ya nuclear mengi, na hakuna atayekubali kushindwa- labda mmoja amuwahi mwenzake na kuteketeza mitambo yote ya nuclear ya mwenzake- kitu ambacho si rahisi sana kutekeleza. Kuna mabomu kwenye manowari na madege yanayozunguka kila wakati angani. Viongozi wenye busara wanajaribu kuzuia dunia isiende huko, dunia itabadilika kabisa itakuwa haikaliki- mionzi ya nuclear itasumbua sana wakazi wa dunia. Dunia nzima itadhurika kwa joto na mionzi mikali itakayotokana na vita hiyo.
 
NATO wameshatoa msimamo,Russia akiingia.......,NATO wameshaamza kujiandaa kwa battle.

Aisee NATO wameishia kuweka vikwazo na kitoa misaada ya silaha ila Ukraine wakajitetee wenyewe.wakajifie.
 

Marekani peke yake asingeweza kumpiga saddam. Hapo ndipo udhaifu wa mmarekani unapoanzia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…