Huwezi amini lakini ukweli bila NATO, Marekani anaiogopa Sana Urusi

Sasa mbona unarudi kulekule.... siku china ikiwa na kauli USA and Europe ni ndani ya dakika tu mwenye dunia yake anashuka kuchukua wateule
Kutoikubali china hakuizuii kuendelea. Ndiyo conclusion yangu kuwa siikubali lakini kama matambi inayapiga haswaa.
 
Nuclear inatumika moja tu ndani miezi 12 dunia nzima tutakua tushakiona cha moto... usidanganywe na nchi kumiliki 1000000000 Nuclear bombs haisaidiii labda lolote

Mfano hata wasipo pigana ikatokea Mr kiduku akatuma kitukizito Antarctica tumeisha

Dunia inahatari hiii
 
Ukraine hali ni tofauti sana. Hiyo nchi inachukuliwa too serious tofauti na hizo ulizotaja na ndio maana tumeshuhudia umegwaji wa eneo la Crimea toka Ukraine.
 
Tatizo watu wa JF mnasikiliza Sana vyombo vya habari vya kimagharibi ......huwa havitoi Sana uwezo mkubwa wa kijeshi wa RUSSIA

ila Russia ni nchi inayomiliki silaha Kali zaidi kuliko nchi yoyote duniani that's y NATO wanajitahidi kukaa pamoja kumdhibiti coz Russia anamiliki hadi Robot za kivita ......ukiachana na ICBM ambazo zinaweza kukufikia popote pale duniani

Kama unabisha kuhusu USA kumuogopa RUSSIA rejea CUBAN NUCLEAR MISSILES. ......coz pale USA ilikaa na rais JF Kennedy wa USA aliomba yaishe wakae chin kusuruhisha hii Mambo

Na Russia kuzuia Ukraine kujiunga na NATO yuko sahihi coz ....baada ya kukaa chin walifanya agreement ya majeshi ya hiz nchi yasije kukaribiana .....kamwe ....

So USA kujiingiza Ukraine anataka kumu overtake mrussia
 
✓[emoji2400]Alafu na ile ishu ya Nord String 2 ya Germany. Kuna watu mna madini umu hatari sana
Mradi una manufaa pande zote mbili. Ulaya wanautaka sana uwe active haraka iwezekanavyo sema ndio hivyo kuna figisu za Mmarekani ndio zinakwamisha huo mradi.

But at the end of the day Europe ndio inaumia kwa kupanda bei ya gas inayopitishwa Ukraine.
 
Jambo la kusikitisha , katika maelezo yako, haujataja nchi hata moja ya Afrika. Tafsiri yake ni kwamba waafrika wamebaki kama mashabiki na watazamaji tu wa mambo yanayofanyika kwenye mabara ya watu wenye akili timamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
S.A ndo nchi pekee iliyoteketeza silaha zake za nyuklia
 
S.A kwenye hayo mambo ni sawa na Simba wa maonesho, hana impact yoyote.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aliachana na hayo mambo kitambo baada ya mkataba wa kuacha kutengeneza silaha za nyuklia aliteketeza silaha zake. Ilikuwa bado serikali ya weupe.
Angekaza naye angekuwa anasumbua kama Pakstan wameweza kumiliki nukes naye angeweza tu.
 
Unasema kwamba, Marekani haiwezi kuikabili Urusi bila NATO, hapohapo unasema inaweza kuikabili Urusi kwa vikwazo! Sijakuelewa!
Ok namaanisha Kijeshi Marekani anaiogopa Urusi,ndio maana Kila akitaka kuinya Urusi Kijeshi huanza kuwaambia NATO wawe wamoja dhidi ya hujuma zozote za Urusi za Kijeshi.
Marekani hawezi kuinya Urusi kuwa ataikabili peke yake,Bali lazima atake kuihusisha NATO yote.
Lakini kitu pekee ambacho Marekani anaweza kumshugulikia Urusi ni kumwekea vikwazo tu.
Nadhani nimeeleweka Mkuu wangu Franc the Great.
 
Lazima utakuwa muislamu wewe, huwa mnafundishwa kuichukia marekani na europe na kuishabikia china..,
 
Pesa ya marekani ndo inacontrol dunia(dolari)Mchina hesabu zake anapiga kwa dola za kimarekani akiweza kuifanya pesa yake itawale duniani basi mmarekani atadondoka.
 
Lazima utakuwa muislamu wewe, huwa mnafundishwa kuichukia marekani na europe na kuishabikia china..,
🤣🤣🤣🤣 Mimi siyo Mwislamu ni Mkatoliki ambaye kasahau mlango wa kanisa ulipo. Mimi arguement zangu uwa haziko based kwa misingi ya dini, bali ninasema kile ninachoona kama kilivyo.
Sina kumbukumbu kwenye ukoo wetu hata kama tuna Mwislamu.
Siichukii Europe lakini ndiyo ukweli China anakuja kwa kasi, hata ukifumba macho ukapingana ma hilo hakutabadili ukweli. 🤣🤣
Labda uniambie uliponiquote kuna uongo wowote nilioandika.
 
Umechangia vizuri na huu ni mjadala was kawaida tu.
Sasa kulikua na haja gani kuniita punguani.
Mimi nimetoa maoni yangu,nawe umetoa yako Tena vizuri tu.ulichoharibu ni kuniita punguani.asante kwa hilo pia Asante kwa maoni yako mazuri yenye data.
 
Kwa komenti hi ndio umeniunga mkono kabisaaaa kwamba Israel,USA,Ukraine,German na France wanamsubiri Urusi ajaribu kuivamia Ukraine.aisee kumbe Urusi ni jeshi la nchi moja dhidi ya mataifa tajiri zaidi duniani.
 
Aliachana na hayo mambo kitambo baada ya mkataba wa kuacha kutengeneza silaha za nyuklia aliteketeza silaha zake. Ilikuwa bado serikali ya weupe.
Angekaza naye angekuwa anasumbua kama Pakstan wameweza kumiliki nukes naye angeweza tu.
Nataka tujiulize, kwanini hakuna nchi hata moja ya Afrika Mashariki yenye ujuzi wa mambo hayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…