CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
- Thread starter
-
- #21
Picha ya mzungu? Au picha ya nini? Unawajua Mafisio? Kama sio mtu wa kilimo huwezi wajua, ulizia mafisio,Njombe sehemu gani wazungu wanalima mboga? Mm nipo huku sijawahi Ina hao wazungu wanalima hizo mambo [emoji2][emoji2] labda ungeweka picha zao
Hapana tuna ulizana watanzania make hiu ni kazi tulipaswa kufanya sisi, sio swala la wivu, mimi nafanya nai biashara fulani ila ukweli huwa nasikitika si kwamba nawaonea wivu, ila huwa najiuliza.Acha wivu, na wewe si ukalime ?
Ukuta kama wa kule kwenye Tanzanite? Aiseee hatari sana,Hao Vijana Ndiyo Wamemaliza Mafunzo Hivi Sasa Tunangoja Kuona Je Nini Kitaendelea
Sasa Hivi Wanajenga Ukuta Kwa Kasi
Ni wako İringa sio Njombe, ila ndio hivyoNjombe sehemu gani wazungu wanalima mboga? Mm nipo huku sijawahi Ina hao wazungu wanalima hizo mambo [emoji2][emoji2] labda ungeweka picha zao
Mkuu kaa mkao wa kula, kuna mwekezaji wa kuku alisema anataka kuja wekeza Tz... hili tamko lilitolewa na serikali alipokuja makamu wa rais wa USA.Hivi tunalima products zipi hasa? Make Hoteli za kitalii nyingi zinalishwa na Wazungu, Kule Njombe kuna Wazungu kule wanalima kila aina ya Mboga ambazo husapply Arusha, Dar na Zanzibar.
Arusha kuna Wazungu, kuna wenye Mashamba kule West Kilimanjaro, yale mashamba yalio kuwa ya TBL wakilima shayri, wale wanalima balaaa tupu na wana offisi zao pale Arusha mitaa ya jirani na kiwanda cha Bia, wana lisha Hoteli nyingi sana za Arusha, na Polini, huwa nawauziaga netti fulani hivi hivyo natimbaga sana offisini kwao na huwa nasikitika sana.
Hilo shamba lao ni ni hekari 1000+ ni kubwa mno kwa kifupi,
Sisi tunazalisha products zipi hasa, au ni hizi za kuuziana sisi Kibongo bongo?
Hawa wazungu some time hata wanatudharau wako sahihi kabisa kwa asilimia 100 kama wanakuja na wanalima na wanalisha Mahoteli ya Kitalii na Camp whay sisi? hii ilikuwa ni kazi yetu ila hatuwezi.
Hio picha nilipiga mwenyewe kwenye offisi zao Arusha, na hizo Products zinatoka West Kilimanjaro.
Kuna haja ya kujiuliza tunalima nini hasa sisi? View attachment 2604810
Madalali wa mazao kutoka shambani kwenda sokoni, ingia soko la mabibo au buguruni utawakutaHao Middle men ni wakina nani?
Hahaa hapo sasa ndio tutajua hatujui, Haya mabanda yetu tutafugua mijusiMkuu kaa mkao wa kula, kuna mwekezaji wa kuku alisema anataka kuja wekeza Tz... hili tamko lilitolewa na serikali alipokuja makamu wa rais wa USA.
Mkuu elewa mfumo wa nchi jinsi ulivyo,huku kwetu tunalima ufuta,ilipofika muda wa kuuza tuliuza 1500kwa kilo badala ya 3000,mnunuzi alienda kuuza Dar 6000kwa kilo Tena mulnunuzi Ni mwanasiasa mkubwa ambae alitakiwa atusimamie tupate pesa badala yake ametupiga who cares??Exposure gani wakati tunalima ndani ya nchi na kuuzia ndani ya nchi? İna maana kulima products za kuuza hasa kwenye hoteli tunahitaji Exposure? Mtaji sh ngapi?
ni kama mzungu umpeleke yai la kuku wa kienyeji yani hamta elewana kabisa na shida wa wakulima wazawa uwongo unakuta anambiwa leta organic product anajidai mchakachuajiSisi tunalima kienyeji Sana, wao wanakula kitu kilichotoka kwenye green house halina contamination na wadudu wa aina yeyote
kikwazo kikubwa ni kuwa mazao yetu hayana viwango. Huwezi kujua umeweka dawa kiasi gani, umezipanda kwenye udongo wa aina gani alimradi wewe umepanda vimeota basi.Vikwazo gani? Hao Middle men ni wakina nani? Make naona wanalima na Mahoteli yanaenda kununua kwao, Hoteli zinaangalia products
Shida huanzia hapo, hata tumbaku walikuwa wanaweka mawe, na maana mtu anapima kilo nyingi baadaye wakienda huko wanakuta mawe kilo zinapungua wanaanza kulalamika kumbe shida ipo kwao, yaani sijui shida huwa ninini! Kutokuwa na elimu au akili za kuzaliwa ni shida[emoji53]Same as ufuta mikoa ya kusini, ilikua na soko cha ajabu wananchi wakawa wanaweka mchanga katikati ukipima uzito unaongezeka! Ikaondoa trust ya dealers!
Jamani mchele unamafuta mpaka unajisikitikia huku unanunua, mwanzo nilikuwa najiuliza huu mchele vipi nikajua bahati mbaya nikamfuata mfanyabiasha mmoja akaniambia sio bahati mbaya daa afya zetu ni kwa huruma ya mwenyezi Munguna majeans wanapaka mafuta?mi nilifikiri ni mchele tuh hupakwa nafuta mkuu
karoti wanaosha na sabuni za unga mara mchele waweke mawe makusudi kuongeza kilo, mtu unaingia nae biashara mfano kila siku saa 11 alfajiri akulete maziwa lita 2500 na ana jipambanua kabisa anauwezo mara unaenda vizuri katikati ananza dharula zisizo na msingi matokeo yake anakurudisha nyuma kumbe unakuta anauza sehemu nyingine nje ya mkataba wako nahaweki wazi kwamba sasa biashara na wewe basi.Jamani mchele unamafuta mpaka unajisikitikia huku unanunua, mwanzo nilikuwa najiuliza huu mchele vipi nikajua bahati mbaya nikamfuata mfanyabiasha mmoja akaniambia sio bahati mbaya daa afya zetu ni kwa huruma ya mwenyezi Mungu
Makubwa haya jamani sasa sijui tutakuwa na akili linikaroti wanaosha na sabuni za unga