saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
yuko sahihi, we ndio hujitambui na sijui unamlalamikia nani, unamlaumu nani au we siyo binadamu? Kalime wewe siyo kuja kulalamika huku.Nazani umevamia post isio kuhusu,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yuko sahihi, we ndio hujitambui na sijui unamlalamikia nani, unamlaumu nani au we siyo binadamu? Kalime wewe siyo kuja kulalamika huku.Nazani umevamia post isio kuhusu,
ikiwa ni pamoja na wewe,Vijana ni wavivu sana yaani sisi tunaburuzwa hata hayo mahoteli wengi wanaoingia ni wazungu...Vijana wa kitanzania wao kazi kubishana na kuweka suruali chini ya makalio eti "Unyama"
yuko sahihi, we ndio hujitambui na sijui unamlalamikia nani, unamlaumu nani au we siyo binadamu? Kalime wewe siyo kuja kulalamika huku.
😂😂😂ikiwa ni pamoja na wewe,
Maharagwe wanaweka uchafu ili mzani uwe upande wa muuzaji
Sio product zao zote ni za green house mkuu, wanalima sana Oppeni field, na oia kwa kuzidiwa na mzigo huwa wana nunua kwa local ila sasa sisi local full usaniiii mwingi mno, yaani asilimia 90 ni usanii, ila si kwamba hatuwezi lima hio quality tunaweza sema hatujajipanga na hatuko serious
Hayo maharagwe ya njano unakuta kwenye kilo nzima gram 100 ni uchafuHii kweli especially maharage ya kigoma
DuhKorosho zilikuwa kontena 2 zina mawe
Juzi China wamesema wamekuta uchafu kwenye SOYA kutoka Tz
Ufuta India walilalamika
Hayo ni maneno ya Balozi wa Tanzania Nchini China Bwana Mbelwa Kairuki
Sisi tuna changamoto nyingi mnoHivi tunalima products zipi hasa? Make Hoteli za kitalii nyingi zinalishwa na Wazungu, Kule Njombe kuna Wazungu kule wanalima kila aina ya Mboga ambazo husapply Arusha, Dar na Zanzibar.
Arusha kuna Wazungu, kuna wenye Mashamba kule West Kilimanjaro, yale mashamba yalio kuwa ya TBL wakilima shayri, wale wanalima balaaa tupu na wana offisi zao pale Arusha mitaa ya jirani na kiwanda cha Bia, wana lisha Hoteli nyingi sana za Arusha, na Polini, huwa nawauziaga netti fulani hivi hivyo natimbaga sana offisini kwao na huwa nasikitika sana.
Hilo shamba lao ni ni hekari 1000+ ni kubwa mno kwa kifupi,
Sisi tunazalisha products zipi hasa, au ni hizi za kuuziana sisi Kibongo bongo?
Hawa wazungu some time hata wanatudharau wako sahihi kabisa kwa asilimia 100 kama wanakuja na wanalima na wanalisha Mahoteli ya Kitalii na Camp whay sisi? hii ilikuwa ni kazi yetu ila hatuwezi.
Hio picha nilipiga mwenyewe kwenye offisi zao Arusha, na hizo Products zinatoka West Kilimanjaro.
Kuna haja ya kujiuliza tunalima nini hasa sisi? View attachment 2604810
Uliplan kuuza bei gani before haujakutana na huyo mnunuzi?!Mkuu elewa mfumo wa nchi jinsi ulivyo,huku kwetu tunalima ufuta,ilipofika muda wa kuuza tuliuza 1500kwa kilo badala ya 3000,mnunuzi alienda kuuza Dar 6000kwa kilo Tena mulnunuzi Ni mwanasiasa mkubwa ambae alitakiwa atusimamie tupate pesa badala yake ametupiga who cares??
Mimi nilime ekari 10 za mbogamboga so what? Kama Sina exposure nikatafuta soko mjini zitaozea shambani tu!!
Mchele kupakwa mafuta ni process ya lazima na sio ubadhirifu. Usipopakwa mafuta ukiweka store muda mrefu zaidi ya mwezi unakuta umetengeneza fungus.na majeans wanapaka mafuta?mi nilifikiri ni mchele tuh hupakwa nafuta mkuu
Me ningefunga hao wapuuzi.Same as ufuta mikoa ya kusini, ilikua na soko cha ajabu wananchi wakawa wanaweka mchanga katikati ukipima uzito unaongezeka! Ikaondoa trust ya dealers!
Si hata sasa serikalini majitu yanaiba pesa za miradi, maendeleo yanakwama halafu wanalalamika. Ripoti ya CAG imetolewa sasa komaeni hawa wezi washikwe, yamekaa kimya yanakenua kenua meno, sasa mnataka sijui askari ndio waandamane kwa niaba ya raia.Shida huanzia hapo, hata tumbaku walikuwa wanaweka mawe, na maana mtu anapima kilo nyingi baadaye wakienda huko wanakuta mawe kilo zinapungua wanaanza kulalamika kumbe shida ipo kwao, yaani sijui shida huwa ninini! Kutokuwa na elimu au akili za kuzaliwa ni shida[emoji53]
Mchele kupakaa mafuta sio swala la wizi au uhalifu. Ni process ambayo ni lazima ufanye ili kuulinda usiharibike unapokuwa store.Jamani mchele unamafuta mpaka unajisikitikia huku unanunua, mwanzo nilikuwa najiuliza huu mchele vipi nikajua bahati mbaya nikamfuata mfanyabiasha mmoja akaniambia sio bahati mbaya daa afya zetu ni kwa huruma ya mwenyezi Mungu
najua hakuna miujiza mimi nimesema sisi hatuna viwango mkuu na wala hatujali quality ya product.Hivyo vyote vinapatikana now day, na wale wanako nunua mbegu ni huku huku tunako nunua na sisi, hakuna miujiza
Asali wanaweka maji.Mafuta ya Mawese wanaweka maji au kuchanganya na Uchafu