jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 26,329
- 25,263
Aliyefanya busara ni mwingine siyo wewe hopeless.Kwahiyo kwa maana nyingine unakiri Kwangu kuwa kumbe ulikuwa huna Busara ndiyo maana ukakosea vile? Waswahili bhana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyefanya busara ni mwingine siyo wewe hopeless.Kwahiyo kwa maana nyingine unakiri Kwangu kuwa kumbe ulikuwa huna Busara ndiyo maana ukakosea vile? Waswahili bhana!
Alibebwa na lubuvaHata 2015 vilisimama na wananchi ndio maana Magufuli akapita
System inakuwa upande wako ukiisha chukua nchi siyo kabla.Chadema mnapofanya siasa zenu tambueni kuwa ni ngumu kuchukua nchi bila kufanya urafiki na vyombo vya ulinzi na usalama. Either mtatumia umwagaji damu, Vyombo vya ulinzi ndio watanzania wenyewe ukiona umekubalika 50% kwa watanzania na ndani ya ulinzi ndio hivyo hivyo, maafisa wa vyombo wanataka kujilidhisha na sera zenu juu yao.
Hivyo wapinzani mnapotaka kufanya siasa msijitenge na vyombo kama Police, TISS na JWTZ ni ushauri wangu tu wa leo kuvishutumu vyombo vya ulinzi mala kwa mala mtajenga kutoaminika kupewa nchi ndio maana wanawasumbua sana maana wanajuwa mkiingia mtawageuka na kuwachukulia hatua. Siasa imebadilika vyombo vya usalama ni muhimu ili kwenda hasa ikulu.
Ili jambo litaponza upinzani miaka mingi sana na tutachelewa kuondoa mfumo mbovu wa taifa endapo upinzani hautabadilika na kuwa upinzani wa sera za mageuzi na sio lawama kwa vyombo vya usalama siasa zetu tuzifanye na kumshutumu Magufuli lakini sio taasisi za ulinzi wa nchi.
Aliyefanya busara ni mwingine siyo wewe hopeless.
Kitu cha kwanza kuwapalilia njia wapinzani nikuhakikisha wanapata majority bungeni..nadhani unazungumzia kwa nafasi ya URAISI.
..vyama vya upinzani havijawahi kuwazidi ccm ktk kampeni za Uraisi.
..mara zote wameweka wagombea ambao ni weaker compared to mgombea wa ccm.
..pia mara zote wamekuwa out-campaigned na out-organized na ccm.
..ccm wamekuwa wakifanya kampeni kwa nguvu zaidi kuwashinda wapinzani.
..ccm pia wamekuwa wakifanya kampeni ambazo ziko more organized kuzidi kampeni za ccm.
..Kuna mambo matatu ya msingi. La kwanza MGOMBEA. La pili CAMPAIGN / UJUMBE. La tatu ORGANIZATION.
..Wapinzani wajitahidi washinde mambo mawili kati ya hayo matatu na hakutakuwa na kisingizio cha system kuwazuia.
cc Kalamu1, Nguruvi3
Sasa kukosea jina ndo kuumbuka? Una akili ndogo Mbona?Hili Jina la Kiislamu la Marehemu Imran Kombe ulilitoa wapi Ndugu? Siku zingine uachege kuwa na Kiherere ona ulivyoumbuka.
Sasa kukosea jina ndo kuumbuka? Una akili ndogo Mbona?
I got the last name right. Sidhani kama una akili za kukutosha. Siwezi kuwa na muda mchafu. Endelea na shughuli yako.Kama hukuwa na Akili ya kuweza Kujiridhisha vyema juu ya Jina la Marehemu Imran Kombe utakuwa na Akili za Kujibizana nami?
Kitu cha kwanza kuwapalilia njia wapinzani nikuhakikisha wanapata majority bungeni
Ili wawe na uwezo wa akidi kupush mambo wanayoyataka kwa votes bungeni hata serikali itakuwa na adabu kwa bunge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kwa democratic state mkuu sio hapa Tz, hata ukiwa na sifa zote hizo bado hutapewa uraisi kama hujajipanga vizuri na system. Zanzibar 2015 hayo uliyoyasema yote upinzani ulikuwa nayo lakini mwisho wa siku TISS walimteka Jecha na kumlazimisha kufuta uchaguzi jambo halijawi kutokea duniani chama tawala kudai uchaguzi haukuwa huru...masuala ya system kuwa against upinzani mimi nadhani ni kukatishana tamaa na kutishana tu.
..Ushindi ktk uchaguzi unapatikana kwa kuweka mgombea mzuri / wagombea wazuri, kuwa na a good and inspiring campaign message, na la mwisho ni kufanya kampeni ya nguvu na kuwa more organized kuliko unayeshindana naye.
..Kuna watu walikuwa hawaamini kwamba Wamarekani wanaweza kuchagua mtu mweusi. Walikuwa na imani hizihizi kwamba kuna an " invisible hand " / system itakayomzuia mtu mweusi.
..But what happened alipopatikana mgombea mweusi ambayo alikuwa na sifa tatu ambazo nimezielezea hapo juu?
..Wapinzani waweke mgombea ambaye atamzidi mgombea wa ccm kwa hoja. Pia wawe na ilani nzuri ya uchaguzi na mgombea wao awe na uwezo wa kuitetea. Mwisho mgombea awe na stamina ya kufanya kampeni kumzidi mgombea wa ccm.
..Mgombea wa Uraisi wa upinzani ana mchango mkubwa sana ktk kuwabeba wagombea wa ubunge. The two campaigns have to be coordinated and in sync.
Hii ni kwa democratic state mkuu sio hapa Tz, hata ukiwa na sifa zote hizo bado hutapewa uraisi kama hujajipanga vizuri na system. Zanzibar 2015 hayo uliyoyasema yote upinzani ulikuwa nayo lakini mwisho wa siku TISS walimteka Jecha na kumlazimisha kufuta uchaguzi jambo halijawi kutokea duniani chama tawala kudai uchaguzi haukuwa huru.
Hakuna nchi inaitwa Tanganyika mkuu ndo nasikia kutoka kwako...hiyo inaweza kutokea kwa kaeneo kadogo kama Zanzibar.
..Tanganyika ni li nchi likubwa huwezi kulidhibiti kama Zanzibar.
Ndio system yenyewe sasa kama chadema wanatukana serikali,mahakana,tume ,spika unategemea nini?? Spika Wa bunge bwege,haya mahakama mabwege,vyombo vya dola mabwege,tume mabwege hivi kwa misimamo hiyo ulitarajia chadema ishinde? Na una matarajio itakuja kushinda ikiendelea na hiyo misimamo?Alibebwa na lubuva
leo umewaza mbali sana kuleta wazo kma hili, ila siyo lazima viwe upande wako pale ambapo kuna demokrasia ya kweli, kumbuka Ivory Coast, jamaa alikuwa na vyombo vya usalama pmja na jeshi lote nyuma yake, lakini wananchi waliamua...Tunisia, Misri ni mifano tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
We ni kiazi kabisa, security services ya nchi yoyote hutii rais yeyote aliyechaguliwa na huanza kutekeleza majukumu yao kulingana na mtazamo wa huyo rais mpya na kumshauri pale wanapoona kuna shida. Angalia sakata la ESCROW lilivyokuwa handled na wana usalama wetu, japo lilikuwa bomu lakini walihakikisha linapita salama. Tumia akili na kama hunazo kaa kimyaChadema mnapofanya siasa zenu tambueni kuwa ni ngumu kuchukua nchi bila kufanya urafiki na vyombo vya ulinzi na usalama. Either mtatumia umwagaji damu, Vyombo vya ulinzi ndio watanzania wenyewe ukiona umekubalika 50% kwa watanzania na ndani ya ulinzi ndio hivyo hivyo, maafisa wa vyombo wanataka kujilidhisha na sera zenu juu yao.
Hivyo wapinzani mnapotaka kufanya siasa msijitenge na vyombo kama Police, TISS na JWTZ ni ushauri wangu tu wa leo kuvishutumu vyombo vya ulinzi mala kwa mala mtajenga kutoaminika kupewa nchi ndio maana wanawasumbua sana maana wanajuwa mkiingia mtawageuka na kuwachukulia hatua. Siasa imebadilika vyombo vya usalama ni muhimu ili kwenda hasa ikulu.
Ili jambo litaponza upinzani miaka mingi sana na tutachelewa kuondoa mfumo mbovu wa taifa endapo upinzani hautabadilika na kuwa upinzani wa sera za mageuzi na sio lawama kwa vyombo vya usalama siasa zetu tuzifanye na kumshutumu Magufuli lakini sio taasisi za ulinzi wa nchi.
2015 CHADEMA walifanya Kosa kubwa kuelekeza nguvu kubwa kwenye urais badala ya bunge...Ni wazo zuri.
..kusiwepo na chama chenye kuweza kupitisha mswada bungeni bila kushirikiana na chama kingine.
Wapinzani hawana adabu, 24/7 wanalindwa wasiuawe na watu wa nje ila wao hawana shukrani.Chadema mnapofanya siasa zenu tambueni kuwa ni ngumu kuchukua nchi bila kufanya urafiki na vyombo vya ulinzi na usalama. Either mtatumia umwagaji damu, Vyombo vya ulinzi ndio watanzania wenyewe ukiona umekubalika 50% kwa watanzania na ndani ya ulinzi ndio hivyo hivyo, maafisa wa vyombo wanataka kujilidhisha na sera zenu juu yao.
Hivyo wapinzani mnapotaka kufanya siasa msijitenge na vyombo kama Police, TISS na JWTZ ni ushauri wangu tu wa leo kuvishutumu vyombo vya ulinzi mala kwa mala mtajenga kutoaminika kupewa nchi ndio maana wanawasumbua sana maana wanajuwa mkiingia mtawageuka na kuwachukulia hatua. Siasa imebadilika vyombo vya usalama ni muhimu ili kwenda hasa ikulu.
Ili jambo litaponza upinzani miaka mingi sana na tutachelewa kuondoa mfumo mbovu wa taifa endapo upinzani hautabadilika na kuwa upinzani wa sera za mageuzi na sio lawama kwa vyombo vya usalama siasa zetu tuzifanye na kumshutumu Magufuli lakini sio taasisi za ulinzi wa nchi.
Madam ccm ikiendelea kutawala Tanzania bara Zanzibar hakuna chama kingine kitakachoweza kupata urais hata kama kitashinda asilimia 100 ya kura zote...hiyo inaweza kutokea kwa kaeneo kadogo kama Zanzibar.
..Tanganyika ni li nchi likubwa huwezi kulidhibiti kama Zanzibar.
Mkuu dunia hubadilika na mambo hubadilika , chini ya jua lolote linawezekana ,Nawewe unaishauri chadema wakati upo nao .ni akili ya maiti tu kuwaza kuwa chadema waweza kuichukua nchi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaweza uovu ukizidi wakaiamsha jamii,Jamii kwa pamoja mfano ifikie 80% waikatae ccm,hata tume iwe inatoka mbinguni au kuzimu itaachia tu.Msingi ni wananchi na sio tume.Wananchi siku wakiichoka ccm hata polisi hawana uwezo wa kuisaidia.Upinzani utaondoaje CCM madarakani kwa mfano?
Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na wajumbe wake wanateuliwa na mwenyekiti wa CCM/Rais
Wakuuu wa mikoa na wilaya (makada wa CCM) ni wakuu wa vyombo vya usalama maeneo yao
Matokeo ya urais hayapingwi mahakamani
Sent using Fly in any Weather.
Sent using Fly in any Weather.