Huwezi kuchukua nchi bila SYSTEM kuwa upande wako

Vyombo vya Ulinzi unawazungumzia hawa kina Mabeyo na huyo mpare???

Be serious!...hao wapo hapo kumuabudu yesuwachato hata CHADEMA wafanye nini hawashindi.
 
VYOMBO VYOTE TUMEJAZA NDUGU ZETU KUTOKA KANDA YA ZIWA HAO CHADEMA WATAPITIA WAPI???!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawaza undugu sababu ndio kilichounda chama chenu

Unazidi kujianika

Kama wamejaa kanda ya ziwa na sisi wahehe, wanyakyusa, wafipa tukisema hivyo tutafika?

Ndio maana silipendi lichama lenu
 
Unaongea utafikiri mkipata huo ukombozi mtawafukuza kazi Tiss na polisi wote
 
Umeandika taka taka.... Unachukua story za vijiweni unaleta hapa..... Ni vile tu mifumo ya hapa ipo corrupt na wapo kimaslahi kulinda vyeo
 
Unamchukua mtu anakuja kusema nikishinda nitafuta posho zao?
 
Hakuna cha kushirikiana na system wala nini katiba ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ni ya ovyo inatoa mwanya kwa chama tawala kuendelea kutawala, kumbuka maamuzi ya jecha huko visiwani 2015!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…