Huwezi kuchukua nchi bila SYSTEM kuwa upande wako

Huwezi kuchukua nchi bila SYSTEM kuwa upande wako

Vyombo vya Ulinzi unawazungumzia hawa kina Mabeyo na huyo mpare???

Be serious!...hao wapo hapo kumuabudu yesuwachato hata CHADEMA wafanye nini hawashindi.
 
VYOMBO VYOTE TUMEJAZA NDUGU ZETU KUTOKA KANDA YA ZIWA HAO CHADEMA WATAPITIA WAPI???!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Unawaza undugu sababu ndio kilichounda chama chenu

Unazidi kujianika

Kama wamejaa kanda ya ziwa na sisi wahehe, wanyakyusa, wafipa tukisema hivyo tutafika?

Ndio maana silipendi lichama lenu
 
Endelea kujidanganya tu,hakuna siku system itakuja kuwakubali upinzani,hao police,tiss lazima wasemwe kama wanakwamisha harakati za kujikomboa,kwa mfano ulitaka kusema chadema wasiseme kwamba mdude alitekwa nao police/tiss? ulitaka kusema kwamba wanaharakati/upinzani wasiseme kwamba aliyemteka ulimboka ni mtu wa tiss?

Kama Police /Tiss wakifanya kazi kwa weledi hawatosemwa ila wakiendelea kufanya utopolo watasemwa na wataendelea kupigwa spana mpaka 2050 na wataachia tu nchi siku moja,kaachia mugabe ndio itakuwa kwetu? Ipo siku uoga watu utawaisha tu amini hivyo kwa kadri tiss/police wanavyotekeleza amri za SISIEMU ndio wanazidi kurahisisha hiyo siku.
Unaongea utafikiri mkipata huo ukombozi mtawafukuza kazi Tiss na polisi wote
 
Chadema mnapofanya siasa zenu tambueni kuwa ni ngumu kuchukua nchi bila kufanya urafiki na vyombo vya ulinzi na usalama. Either mtatumia umwagaji damu, Vyombo vya ulinzi ndio watanzania wenyewe ukiona umekubalika 50% kwa watanzania na ndani ya ulinzi ndio hivyo hivyo, maafisa wa vyombo wanataka kujilidhisha na sera zenu juu yao.

Hivyo wapinzani mnapotaka kufanya siasa msijitenge na vyombo kama Police, TISS na JWTZ ni ushauri wangu tu wa leo kuvishutumu vyombo vya ulinzi mala kwa mala mtajenga kutoaminika kupewa nchi ndio maana wanawasumbua sana maana wanajuwa mkiingia mtawageuka na kuwachukulia hatua. Siasa imebadilika vyombo vya usalama ni muhimu ili kwenda hasa ikulu.

Ili jambo litaponza upinzani miaka mingi sana na tutachelewa kuondoa mfumo mbovu wa taifa endapo upinzani hautabadilika na kuwa upinzani wa sera za mageuzi na sio lawama kwa vyombo vya usalama siasa zetu tuzifanye na kumshutumu Magufuli lakini sio taasisi za ulinzi wa nchi.
Umeandika taka taka.... Unachukua story za vijiweni unaleta hapa..... Ni vile tu mifumo ya hapa ipo corrupt na wapo kimaslahi kulinda vyeo
 
Naamini japo sina uhakika sababu mojawapo ya cdm kumteua lowasa kuwa mgombea wao wa urais ni kuwin trust kutoka hivi vyombo vya usalama, maana huyu mtu wanamfahamu amekulia huko, sasa kama lowasa walimkataa, hii sababu inaonyesha zahiri haina nguvu tena, vyombo vyetu cha usalama vya nchi vinatakiwa viwe neutral kwa vyama vyote, maana hivi vyama vipo kwa mujibu wa sheria na katiba kwa msingi huo vina haki sawa kama vyama vinginevyo siasa pamoja na ccm, sasa unapoona hivi vyombo vinalalia upande mmoja, basi jua watu waliopo kwenye vyombo hivyo wametawaliwa na ubinafsi, hafanyi kwa maslahi ya nchi au wananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamchukua mtu anakuja kusema nikishinda nitafuta posho zao?
 
Hakuna cha kushirikiana na system wala nini katiba ya jamhuri wa muungano wa Tanzania ni ya ovyo inatoa mwanya kwa chama tawala kuendelea kutawala, kumbuka maamuzi ya jecha huko visiwani 2015!!!!
 
Back
Top Bottom