Huwezi kuichafua oil chafu, itakuchafua. RIP Dkt. Magufuli

Huyu boya katengenezwa kuharibu kwenye vichwa vya watu legacy ya magu kitu ambacho hataweza ametumwa hakuna kitu kipya je angekua magufuli yupo hai angeyasema haya?
hajatengenezwa. nothing but plain fact. oh and good news ni kwamba jpm alimchagua.
CAG anafanya ukaguzi kwa mujibu wa sheria za manunuzi ya serikali. na hata katiba inamtamhua.
tofauti na vyeo vingine, CAG si mwanasiasa, hana chama, ni mkaguzi wa mapato na matumizi ya serikali.
na hafanyi kazi mwenyewe,ana ofisi yake na team yake. na kumbuka haya mahesabu wanatoa taasisi husika. yaani taasisi husika ndio zina handover mahesabu yake kwa CAG.

alichokitoa ndio picha halisi, Plain facts.
 
MATAGA safari hii lazima mjinyonge tu
 


Matatizo yote ni CCM na makada wake akiwemo Mwendazake . CCM ina wenyewe na wenyewe watafanya vitu vyao tu hivi tunavyovishuhudia leo. HAKUNA MSAFI HUMO
 
Kumbe alikuwa anajiandalia kanafasi ka kuendelea kubakia ikulu ili kulinda uozo uliopo pale
 
labda kundi la nzi.
 
rais mstaafu nahisi yupo nyuma ya hii skendo ya kuchafua jina la makufuli ila makufuli hakufukua makaburi ya wenzake alificha
Ebu toa ndoto zako za kalumekenge
 
Mnatetea majambazi ya rasilimali fedha za walipa kodi wa tanzania
 
Mjinga wewe huna akili mnamtetea mtu mwizi na muaji wa watu shetani mkubwa wewe mwacheni mama afanye kazi huyu ndio Rais wetu sasa hivi
 
nafikiri bado hujaelewa maana ya ripoti ya CAG Repoti hua ahiji kama hotuba ya mawaziri bungeni hiyo ni audit ripoti kazi ya yake ni kukagau mapato,matumizi,uhalisia wa mapato,madeni,miamala na njia za kufanya miamala kama zipo sahihi na zinafuata sheria,kupendekeza njia nzuri za malipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…