Huwezi kumiliki/ kumilikishwa/ kuendesha LC 300 kama hutumii nguvu za giza

Paragraph yako ya mwisho inafikirisha sana. Na ndo uhalisia kwa wengi wetu.
 
Wewe dogo ulivyofungua hilo bichwa lako, umepata utajiri wa kias gani kwa shilingi za kitanzania
Nikikutanaga na watu wenye fikra za kipuuzi hivi huwa nawachangamsha na makofi ndonga zao zikae sawa. Hiyo mil300 ni hela ndogo sana tuliza ndonga uone fursa sasa wewe ushajikatia tamaa kila tajiri unamuona mchawi. Anyways hiyo mil300 niliishika nikiwa kijana mdogo sana tena kwa kuuza miswaki tu sasahivi nimeupgrade ninalima karibu shamba upate marambili ya hiyo kwa mwaka
 
Nadhani Kama kuamini kwenye dini ingekuwa kielelezo cha mafanikio, basi waafrica tungewapita mbali wazungu. Maana hakuna anayetuzidi kwenda kanisani.
 
Usinihusishe kwenye umaskini wako, maskini mnahasira sana sijui kwanini? Alafu mimi sio mtoto mwenzako.
 
mimi kuzungusha mil800 ni kawaida sana kijana kua uyaone, alafu upunguze ujinga kwenye ndonga lako tafuta jela acha visingizio. Angalia statement hapo chini mfa maji wewe.
 

Attachments

  • Screenshot_20240721-023816_Word.jpg
    221.4 KB · Views: 8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…