Huwezi kumiliki/ kumilikishwa/ kuendesha LC 300 kama hutumii nguvu za giza

Mkuu unataka kutuaminisha kwamba mtaji mkuu wa hawa manabii ni umaskini wa watu wetu ambao wengi wao wameshakata tamaa ya kufanikiwa.
Hilo halina mjadala mkuu,hata kama mtu anafeli maisha kwa kukosa kuwezeshwa ,elimu,mtaji,au connection ataambiwa karogwa,Siku akitobia maisha humuoni tena kanisani,atakwambia kazi zimemtinga
 
LC 300 and alike is not for everyone.

Sugua sana goti msikitini na makanisani, omba sana Mungu utaishia kwenye Prado mchaga.

Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine, dunia ya maagano, lazima uwe na nguvu za giza sio kulinunua tu hata kuliendesha, hakuna mjinga atakubabidhi milioni 500 uzurure nayo mitaani kwenye kila aina ya risks.

Hakuna washirikina kama madereva wa serikali na mabasi ya mikoani plus malori, hizo kazi huzipata kwa kuroga na kuhonga sana, mjinga nani ajukabidhi na milioni upige nayo misele.

Tanzania ukichukua fomu tu Ugombee Ubunge watakuja wazee wakulazishe kukupa hirizi au wakufanyie kisomo.

, Mungu wetu kuna limit ya mafanikio ametuwekea sisi waafrica, kuna level tukifika huwa tunamkufuru,Tunajiona tumefanikiwa kwaakili zetu ndio maana misikitini na makanisani wale waumini wa kweli wanamaisha ya chini au ya kawaida sana, wale matajiri ukiwafuatilia ndio wamiliki wa majini, washirikina wakubwa.

Waafrica ni wanafiki sana, bado hatujaacha dini zetu za asili, kuanzia ijumaa mpaka jumapili tutaenda misikitini na nakanisani, tukitoka hapo tunapishana kwa waganga.

Asilimia kubwa tuko hivyo.

Tuendelee kuendesha crown tu ili tufike mbinguni.

Mimi binafsi sijawahi kwenda kwa mganga ila nimefanya kazi na watu ni washirikina hatari na nusu,Na yanapanda vyeo tu wanachodekiver hukioni.

Africa tukifika maendeleo kama ya ulaya makanisa ya kiroho ya akina mwamposa an a like yatafutika, tutabaki na yale madhehebu yetu makuu. Kuna watu wanajifanya kuombewa wakishafanikiwa huwaoni tena kanisani.Walifuata miujiza sio kujiweka karibu na Mungu ili waione pepo.

Pata picha unaamka asubuhi maji bombani hayakatiki,umeme haukatiki,ada ya watoto haisumbui,wakimaliza masomo wanaoata ajira, ukiumwa una uwezo wa kujitibia Agha khan,unadrive gari kali na una nyumba yako ya kuishi????

My friend Mwamposa atabaki na wale wateule wachache wanaotaka kwenda mbinguni,na sio wapenda miujiza
Wavivu ndio wa kwanza kuamini kwenye ushirikina. Wenzenu wanatengeneza connections na kupata Tender za mabilioni nyie mnakalia eti kafara na maagano 😂️😂️😂️😂️😂️😂️😂️. Hivi kuna Watu walijua kafara na maagano kuliko babu zetu wa kuabudu mizimu? Mbona hawakuwa na huo Utajiri hata wa kumiliki magari ya farasi 😂️😂️😂️😂️. Tengeneza connection, kaa karibu na wakubwa, aminika utakula mema ya nchi.
 
Vijana wanasikitisha sana. $140,000 mpaka ukaroge?
RRONDO labda kama umekulia ulaya utabisha,nikiwa mdogo tukicheza hizi mechi za mitaani tulikuwa tunaenda kwa mganga kuroga ili tushinde mechi,sometimes tunafungwa tunajipa moyo kuwa tulikiuka masharti.
Mwaka 2001 nikiomba visa ya kwenda USA agent wa safari yangu alinipeleka mwananyamala kwa babu mpemba kuoshwa nikakataa,akaniambia nikikosa visa nisimlaumu.nikaenda na visa nikapata.
Nilifanya kazi ofisi moja kuna jamaa kazi yake kupeleka staff wrnzetu kwa mganga ili wapande vyeo.
Kariakoo wakinga ni noma,
Kisutu,kitumbini wahindi familia zao hukosi zezeta,
Madereva wa STK ni noma kwa kupuliza.
Timu za mpira zote zina mganga wake,
Mabasi ya mikoani yanafanyiwa kafara hatari.
WAnaokwenda likizo december huko kaskazini wanaenda kufanya ushirikina ambao ni modern,mbuzi lazima achinjwe.
Mahakamani kwenye kesi kuna ushirikina hatari.
Mimi binafsi siendi kwa mganga na mtumainia Mungu ila waafrica sisi sio watu wazuri
 
Wavivu ndio wa kwanza kuamini kwenye ushirikina. Wenzenu wanatengeneza connections na kupata Tender za mabilioni nyie mnakalia eti kafara na maagano 😂️😂️😂️😂️😂️😂️😂️. Hivi kuna Watu walijua kafara na maagano kuliko babu zetu wa kuabudu mizimu? Mbona hawakuwa na huo Utajiri hata wa kumiliki magari ya farasi 😂️😂️😂️😂️. Tengeneza connection, kaa karibu na wakubwa, aminika utakula mema ya nchi.
Hilo ni janga africa nzima mkuu,hatujaacha asili yetu bado,tunafanya kimya kimya
 
Sikatai watu kuroga au kuwa washirikina kwenye maisha au biashara. Au waliotajirika kwa ushirikina nawasikia kuwa wapo.
Lakini usiongee kwamba mtu hawezi kuendesha lc300 bila kuroga au ushirikina. Hii sikubali na namshangaa mtu mwenye mawazo haya.
Wewe unaweza kuroga upate hio gari lakini wapo wengi tu wanapata bila kuroga.
 
Ni sahihi ila kuna mikoa usiporoga unarogwa,ukimiliki crown tu wanakuroga,africa sio kabisa yaani,
 
Wavivu ndio wa kwanza kuamini kwenye ushirikina. Wenzenu wanatengeneza connections na kupata Tender za mabilioni nyie mnakalia eti kafara na maagano 😂️😂️😂️😂️😂️😂️😂️. Hivi kuna Watu walijua kafara na maagano kuliko babu zetu wa kuabudu mizimu? Mbona hawakuwa na huo Utajiri hata wa kumiliki magari ya farasi 😂️😂️😂️😂️. Tengeneza connection, kaa karibu na wakubwa, aminika utakula mema ya nchi.
Mtu ana justify umaskini wake kwa kusema waliopata wamepata kwa ushirikina au njia nyingine haramu.
 
MY point was
Nitajie hio mikoa niiepuke
Kanda ya ziwa,Tanga huwezi kumiliki hilo dude kizembe zembe trust me wananzengo hawakuachi salama bro,Dar haina shida watu wanafanya sana ndumba kwenye biashara na shughuli zao ila sio kuharibiana maisja
 
LC 300 and alike is not for everyone.

Sugua sana goti msikitini na makanisani, omba sana Mungu utaishia kwenye Prado mchaga.

Huku kwa ma LC 300 ni dunia nyingine, dunia ya maagano, lazima uwe na nguvu za giza sio kulinunua tu hata kuliendesha, hakuna mjinga atakubabidhi milioni 500 uzurure nayo mitaani kwenye kila aina ya risks.

Hakuna washirikina kama madereva wa serikali na mabasi ya mikoani plus malori, hizo kazi huzipata kwa kuroga na kuhonga sana, mjinga nani ajukabidhi na milioni upige nayo misele.

Tanzania ukichukua fomu tu Ugombee Ubunge watakuja wazee wakulazishe kukupa hirizi au wakufanyie kisomo.

, Mungu wetu kuna limit ya mafanikio ametuwekea sisi waafrica, kuna level tukifika huwa tunamkufuru,Tunajiona tumefanikiwa kwaakili zetu ndio maana misikitini na makanisani wale waumini wa kweli wanamaisha ya chini au ya kawaida sana, wale matajiri ukiwafuatilia ndio wamiliki wa majini, washirikina wakubwa.

Waafrica ni wanafiki sana, bado hatujaacha dini zetu za asili, kuanzia ijumaa mpaka jumapili tutaenda misikitini na nakanisani, tukitoka hapo tunapishana kwa waganga.

Asilimia kubwa tuko hivyo.

Tuendelee kuendesha crown tu ili tufike mbinguni.

Mimi binafsi sijawahi kwenda kwa mganga ila nimefanya kazi na watu ni washirikina hatari na nusu,Na yanapanda vyeo tu wanachodekiver hukioni.

Africa tukifika maendeleo kama ya ulaya makanisa ya kiroho ya akina mwamposa an a like yatafutika, tutabaki na yale madhehebu yetu makuu. Kuna watu wanajifanya kuombewa wakishafanikiwa huwaoni tena kanisani.Walifuata miujiza sio kujiweka karibu na Mungu ili waione pepo.

Pata picha unaamka asubuhi maji bombani hayakatiki,umeme haukatiki,ada ya watoto haisumbui,wakimaliza masomo wanaoata ajira, ukiumwa una uwezo wa kujitibia Agha khan,unadrive gari kali na una nyumba yako ya kuishi????

My friend Mwamposa atabaki na wale wateule wachache wanaotaka kwenda mbinguni,na sio wapenda miujiza
LC 300 ndo nini ili wahini tuiongeze kwenye ndoto zetu!!
 
Nina maswali hapo hapo kadhaa
1. Tu take mfano wa akina elon musk, mark zuckerbeg, jack ma, jeff bezos, bill gates, hawa wote tunaaminishwa ni kuwa ni FREEMASONS sijui ni kweli au la!, ila nataka mifaham jambo moja iv kwanini wao wawe ndio richest men in the world?, na ukiangalia ideas zao zilivyowafanya wafike huko ni GREAT,sasa ile ability ya ku innovate new ideas au hayo mawazo nani aliwapa au aliwaongoza ? , tukisema ni freemasons ndio inawapa kwani wangapi wako huko na bado ktk chama na bado hawajacika level za hao jamaa?, kama ni kafara ni ipi hio wanayotoa then wanabaki kuwa top kwanini wasiwe wengine? Nafikiri kuna kitu cha zaidi ukiachana na nguvu za kiroho..

Samahan kwa kuwa nje ya mada ila pia sijui kama nitakuwa nimeeleweka🙏
 
Imani, imani, imani. Hichi ndio kitu kikuu kinachomuangusha Muafrika.

Ngoja nikuulize swali: Kwanini kama wamiliki magari ni wachawi, then kwanini wachawi wengi ni masikini?
 
Tofautisha Uchawi na ushirikina,uchawi ni the highest stage of ushirikina
 
Hahaha then mambo ya kupenda kufanya biashara za uchuuzi mwisho wa siku ndio mnajikuta mnaangukia huko.
Ushirikina uko kika sekta,michezoni,shambani na maofisini,si ajabu hata makanisani
 
Back
Top Bottom