Huwezi kutajirika kwa kutegemea mshahara, mishahara ni ya wa miaka 20s 30s na married women

Huwezi kutajirika kwa kutegemea mshahara, mishahara ni ya wa miaka 20s 30s na married women

Ni ndoto za mchana kutegemea kua millionior kwa kutegemea mshahara wa kila mwezi, mshahara ni kwa ajiri ya basics (substance) zako za kuishi, au steping stone kujiajiri haraka kabla ya kufika 40yrs.
Njia za kutajilika muhimu ziko nne:

1. Uzalishaji wa bidhaa commodity production yenye uhitaji.
2. Huduma au service production tafuta skills za kukuwezesha utowe huduma muhimu katika jamii.
3. Personal saving au kutunza akiba kwa kujinyima mambo mengine.
4. Wizi au ufisadi kwa mali za ummah au za watu matajiri wenye uwezo, japo hi mbinu ni hatari kwenye nchi zinazo fuata sheria.
Tanzania ni nchi ya ajabu sana na wewe kila nikisoma thread zako, inaonyesha umeathirika sana na ''utanzania''.
 
Managing Directors TIGO, VODA, AIRTEL, DSTV,STARTIMES,AZAM MEDIA, GGM, EXIM BANK, CRDB, NMB, NBC,
Niendelee?
Managing director unafikiri niwenzako, wale wana hisa kwenye makampuni nikama wamejiajiri na wana jilipa mishaara mkuu amka, wewe hujui kwamba Kimei ana hisa CRDB manaake ni sehemu ya umiliki wa hiyo benki
 
Ni ndoto za mchana kutegemea kua millionior kwa kutegemea mshahara wa kila mwezi, mshahara ni kwa ajiri ya basics (substance) zako za kuishi, au steping stone kujiajiri haraka kabla ya kufika 40yrs.
Njia za kutajilika muhimu ziko nne:

1. Uzalishaji wa bidhaa commodity production yenye uhitaji.
2. Huduma au service production tafuta skills za kukuwezesha utowe huduma muhimu katika jamii.
3. Personal saving au kutunza akiba kwa kujinyima mambo mengine.
4. Wizi au ufisadi kwa mali za ummah au za watu matajiri wenye uwezo, japo hi mbinu ni hatari kwenye nchi zinazo fuata sheria.
Umepiga hesabu kwa mshahara wako wa laki 9 ndio maana umeona mshahara hauwezi kufanya mtu awe tajiri ila kaa ukijua wapo watu wanalipwa 9M nakuendelea kwa mwezi
 
Atua ya kwanza ni savings investment ni matokeo ya savings mkuu,. Huwezi kuekeza bila kufanya savings.

Point yako ulivyoiweka ni kama vile umeajiriwa Then usave unachopata mpaka uwe tajiri..

Umeweka savings kama njia moja wapo ya kutajirika, Savings peke ake bila investment is Nothing..
 
Huwezi ukasave tu pesa mpaka ukawa tajiri ..

Point yako ulivyoiweka ni kama vile umeajiriwa Then usave unachopata mpaka uwe tajiri..

Umeweka savings kama njia moja wapo ya kutajirika, Savings peke ake bila investment is Nothing..
Tajiri ni yupi ?

Awe na kias gani cha fedha katika akaunti ?
 
Point yako ulivyoiweka ni kama vile umeajiriwa Then usave unachopata mpaka uwe tajiri..

Umeweka savings kama njia moja wapo ya kutajirika, Savings peke ake bila investment is Nothing..
Saving ndio kitu Cha Kwanza uwezo ukapata pesa ukawa unazitawanya tu kwenye biashara bila kutuliza kichwa na kuzisave ziwe za kutosha Sasa wewe ukipata pesa kidogo kwenye biashara hivi utafanikiwa kweli
 
Hatuwezi wote tukawa matajiri mkuu, wengine watakuwa matajiri, wengine vipato vya kati na wengine vipato vya chini, na wengine wakawa hawana vipato, kufanya biashara ni kipawa sio wote wanavyo, nimegundua pia hata shughuli za kilimo ni kipawa sio kila mtu anaweza kuwa mkulima
Hekima hiz tunazo wachache sana. Hongera mkuu
 
Tajiri ni yupi ?

Awe na kias gani cha fedha katika akaunti ?
Kama Unaishi Chini Ya Hivi Viwango Vya Kimataifa Wewe ni Masikini…

Mpendwa Mpambanaji, Habari!...

Kulingana na viwango vya vipato vinavyotumika kimataifa masikini ni mtu anayetengeneza fedha chini ya dola 30,000 za kimarekani kwa mwaka (sawa na shilingi za kitanzania milioni 48) na anayemiliki mali yenye thamani isiyozidi dola 5,000 (sawa na shilingi za kitanzania milioni 8).

Kwa kutumia viwango hivi vya kimataifa zaidi ya nusu ya wa Tanzania wanaingia kwenye kundi la watu masikini.

Ili uwe na kipato kisichopungua shilingi za kitanzania milioni 48 kwa mwaka inabidi angalau kila mwezi kipato chako kisipungue shilingi milioni 4.

Ni wafanyakazi wachache sana ambao kipato chao cha mwezi ni shilingi milioni 4 au zaidi.

Hata kwa wafanyabiashara wa kitanzania bado wengi hawatengenezi faida inayozidi million 4 kwa mwezi .

Ukigawa shilingi million 4 kwa siku thelathini ni sawa na Tshs 133,000 bado ni kiwango ambacho watu wengi waliojiajiri ama wanaofanya biashara hawawezi kuingiza kwa siku kama faida.

Kama wewe umeajiriwa je kipato chako kwa mwezi kinazidi milioni 4? …

Kama umejiajiri ama unafanya biashara je faida yako kwa siku inazidi shilingi laki moja na elfu thelathini na tatu (133,000)?...

Kama jibu lako ni hapana basi upo kwenye kundi la watu masikini.

Kama mali zako unazomiliki thamani yake haizidi shilingi milioni 8 (Tshs 8,000,000) pia upo kwenye kundi la watu masikini duniani.

Kama hauna nyumba au gari au mali nyingine yoyote amabyo thamani yake inqaweza kufikia milioni 8 tayari unaingia kwenye kundi hili la watu masikini.

Tukiachana na hivi viwango vya kimataifa ambavyo unaweza kusema ni vikubwa sana na hivyo havikutendei haki tuangalie viwango vingine ambavyo vitaamua kama wewe ni masikini au la.

Kama hauna uhakika wa kula miezi sita (6) ijayo hata usipofanya kazi upo kwenye kundi la watu masikini.

Kama kwa sababu yoyote ile kesho asubuhi vyanzo vyako vyote vya mapato vimesimamishwa kama utashindwa kuishi miezi sita (6) kwa maisha unayoishi sasa hivi basi upo kwenye kundi la watu masikini.

Kama wewe ni mfanyakazi na mishahara yako haikutani upo kwenye kundi la watu masikini.

Na kama una madeni makubwa amabyo ulitumia kwenye matumizi ya kawaida kama kula na hujui utayalipaje upo kwenye kundi la watu masikini.

Kama umejiajiri au unafanya biashara na kama biashara yako haiwezi kwenda bila ya wewe kuwepo kwenye kazi au biashara hivyo upo kwenye kundi la watu masikini.

Kama kwa sababu yoyote iwe kazi ama biashara yako imeshindwa kufanyika kwa siku kadhaa na ikawa na madhara makubwa sana kwako kiuchumi upo kwenye kundi la watu masikini.

Hii ina maana kwamba kipato unachopata kwa siku ndio unakitegemea kwa matumizi ya kila siku.

Kama unaingia kwenye mojawapo ya vigezo hivyo hapo juu wewe ni masikini.

Usiogope haupo pekee yako wa Tanzania wengi wanaingia kwenye hivyo vigezo vya umasikini.

Habari Njema Kwako…

Kama umegundua wewe ni masikini usisikitike wala kukata tamaa kwa umasikini ulionao.

Umasikini sio kilema hivyo unaweza kubadili hali hiyo kama kweli utataka kufanya hivyo.

Na ili uweze kutoka hapo ulipo unapaswa kupata maarifa sahihi kabisa ya kutengeneza UTAJIRI .

Imeandikwa na Makirita Amani
 
Saving ndio kitu Cha Kwanza uwezo ukapata pesa ukawa unazitawanya tu kwenye biashara bila kutuliza kichwa na kuzisave ziwe za kutosha Sasa wewe ukipata pesa kidogo kwenye biashara hivi utafanikiwa kweli
Nimekuelewa mkuu , uko sahihi ..

Soma tena alichoandika, halafu urudi kusoma haya maneno chini ..

Ametaja njia kuu nne za kuweza kupata utajiri na njia moja wapo amesema savings kwa kujibana!!

Yaani ufanye kazi , ujibane matumizi mpaka ile pesa uliyoisave ikufanye uwe tajiri ..

Naomba unijibu Kwamimi ambae sina chanzo cha kipato ntatumiaje mbinu namba tatu kua tajiri!?
 
Back
Top Bottom