Huwezi kutenganisha Uislam na Uarabu wakati uislam Mwanzilishi na Muenezaji wa dini hiyo alikuwa Mwarabu

Ila una uwezo mdogo mno wa kuhoji mambo lakini unajiona unajua, wewe ungebaki kwenye vijiwe vya watu wenye akili ndogo huko ujadiliane nao hata kilimo Cha matikiti ukijipa muda wa kujifunza jinsi ya kujadili mambo yanayohitaji elimu na ufahamu mkubwa, wewe ni majnun unayeomba ruhusa kujadili mada kwenye wasilisho la kitaaluma

Jifunze kutenganisha hoja kwa upande mmoja na mtoa hoja kwa upande mwingine. Shambulia hoja na si mtoa hoja.
 
Mnatumia nguvu sana kupinga ukweli huu. Lakini uhalisia ni kuwa, uarabu umeuteka uislamu, hivi kwamba siku zote uislamu unatembea chini ya kivuli cha uarabu. Mnabishia tu uhalisia ulivyo. Uarabu ndiyo umechangia pakubwa ku shape uislamu. Ndiyo maana hata mruke rule salakasi kiasi gani, bado mtatumia kiarabu kama lugha kuu ya kuabudia. Kitu ambacho is very strange in the entire world.
Tutazidi kuwakumbusha kwamba kabla ya ujio wa uislam waarabu hawakuwa wanajua uislam na wala hawakuwa na time nao walikua na majambo yao na ndio maana walimpinga na kumpiga vita s a w
 
Kuamini kuwa Qur'an imeshuka ni maajabu ya aina yake, dini zote ni sanaa na vitabu vyenu vyote vya hadithi za kale(dini) vimetungwa na kuandikwa na watu wakiwa na agendas zao.
Na wewe tunga qur an yako tuuone uwo urahisi
 
Kwa ufupi ninachokiona baada ya muda mrefu wa utafiti.

Katika dini ya uislam, kitu unachokiona kwanza ni uarabu. Halafu baadaye ndiyo unauona uislam. Hilo kwa urahisi tu utaliona katika majengo yao ya ibada. Mbali na architectural design, kwanza utaona maneno yaliyoandikwa ni kiarabu. Masjid El Ijumah. Sasa sijui wanamuandikia nani kwa lugha hiyo.

Uislam ni underdog of uarabu.

CC: Abou Shaymaa
 
Tutazidi kuwakumbusha kwamba kabla ya ujio wa uislam waarabu hawakuwa wanajua uislam na wala hawakuwa na time nao walikua na majambo yao na ndio maana walimpinga na kumpiga vita s a w

Hiyo historia haibadilishi ukweli unaohojiwa hapa.
Isitoshe kama uislam ndiyo uliowaletea waarabu lugha, katika maana ya kwamba kabla ya uislam waarabu hawakuwa na lugha hii ya kuruwan. Naweza nikaelewa. Lakini kama kuruwan ili adapt lugha ya waarabu sasa ubishi unatokea wapi?

Nikwambie tu jamaa yangu Bwana Utam wana uelewa yofauti na ulio nao. Wengi wa waislam wanawaona waarabu kama taifa teule. Hata hapa JF utasikia mtu anasema waarabu wamebarikiwa na Mwenyezi Mungu kana kwamba wao ni watu wa kipekee. Wako sawa na wale ambao (kimakosa) huwasujudia mayahudi kama taifa teule.
 
Kwanza mimi siyo "mrokole" kama unavyosema.
Pili hakuna dini yoyote duniani ambayo imefungamanishwa au kugungwa au kutembea chini ya desturi (hususan lugha) ya jamii fulani. Uislam ndiyo dini pekee ambayo waarabu wana haki miliki yake. Na uislam utakuwa huru pale tu utakapojitenga na uarabu. Pale utakapojitambua kwamba ni chombo cha kiimani/kiroho na si mpango wa kueneza tamaduni, mila na desturi za kiarabu.

Kuhusu kunihusu, kama uislam uko chini ya utumwa wa waarabu. Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kutoka kwenye fikra zake tunduizi. Huwezi kunipangia kitu gani niwaze. Hata Mwenyezi Mungu ametupa uhuru wa kuchagua yaani freewill.
Hakuna sehemu uislam una eneza tamaduni za waarabu waarabu wapo wakristo sababu wanajua uislam sio sehemu ya tamaduni yao pia uislam ulikuja ukikuta waarabu wapo na tamaduni zao ndipo ukaeneza tamaduni yake
 
Kwa ufupi ninachokiona baada ya muda mrefu wa utafiti.

Katika dini ya uislam, kitu unachokiona kwanza ni uarabu. Halafu baadaye ndiyo unauona uislam. Hilo kwa urahisi tu utaliona katika majengo yao ya ibada. Mbali na architectural design, kwanza utaona maneno yaliyoandikwa ni kiarabu. Masjid El Ijumah. Sasa sijui wanamuandikia nani kwa lugha hiyo.

Uislam ni underdog of uarabu.
Shida unashindwa kutofautisha majambo hizo architecture wala hazina nafasi yeyote kwenye uislamu uislam hata ukiamua kusali uwanjani unasali muhimu tu mahala unaposalia pawe Safi tohara hayo majengo ni kupendezesha tu wala hayana ulazima
 
Wengi hawafahamu ya kuwa uislam ni chombo au mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Nachelea kusema hivyo kwa sababu wenyewe waislam wanasema uislam is a total way of life.

Kwa maana nyingine ni utamaduni jumla wa maisha ya watu. Mambo yafuatayo ndiyo yanayonifanya niamini kwamba uislam ni mpango wa waarabu ku assimilate watu wengine wafuate mila za kiarabu.

1. Lugha inayotumika kufanya ibada yao ni kiarabu.

2. Muanzilishi wa dini yao alikuwa muarabu

3. Kitabu chao kimeandikwa kwa lugha ya kiarabu

4. Majina ya waumini wao ni ya kiarabu

5. MAvazi ya waumini wao ni ya tamaduni za kiarabu

6. Majengo yao ya ibada yana mtindo au architectural design ya uarabuni

7. Ala za muziki zinazotumika katika nyimbo za ibada zao ni za asili ya kiarabu

8. Vyakula au mapishi (cuisine) ni ya kiarabu

9. Namna ya kucheza muziki wa sherehe zao ni za kiarabu.

10. Mirathi, ndoa na maziko ni desturi za kiarabu
Kuna mambo mengi ambayo ukiyachunguza yanaenda zaidi ya imani. Yana taka yawe katika ujumla wote wa maisha ya Mtanzania.

Changamoto ni kwamba, kwenye secular state ni ngumu sana kutekeleza desturi hizo, kwa maana serikali yetu haifungamani na dini yoyote.
Karibuni wadau katika kujadili hili mkiwa na akili huru.

CC: Bwana Utam kahtaan FaizaFoxy Kosugi
Uko sahihi mkuu na wamefanikiwa sana.
 
Uislam umewapa uhuru wafanye ibada kwa lugha zao huku wakiendelea kujifunza

Kwa nini walazimike kujifunza lugha ndiyo wawe waumini? Watu wa mashariki ya kati wana shida sana.
Hata ukristo wakati unaenea miaka ya awali, mayahudi walikuwa wakitaka watu walazimike kushika desturi zao. Mojawapo ilikuwa ni kutahiriwa. Walitaka kila mtu akitaka kuwa mkristo lazima atahiriwe. Sasa watu wa nje ya ulimwengu wa mayahudi wakaona huu ni mzigo. Mtu ana miaka 60 atahiriwe. Lakini akina Paulo wakabishia hilo. Matokeo mayahudi wengi wakaanza kujitoa kwenye ukristo. Lakini watu wa nje ya mayahudi wakajiunga na ukristo.

Hata waarabu ni hivyo hivyo wanataka watu walazimike kushika desturi zao. Dawa ni kuwabishia tu kama walivyofanya mash'ia. Wale wana akili, wakakataa kuwa watumwa wa waarabu ambao hawana akili.
 
Shida unashindwa kutofautisha majambo hizo architecture wala hazina nafasi yeyote kwenye uislamu uislam hata ukiamua kusali uwanjani unasali muhimu tu mahala unaposalia pawe Safi tohara hayo majengo ni kupendezesha tu wala hayana ulazima

Kwa hiyo misikiti haina nafasi yoyote katika ibada yenu?
 
Hiyo historia haibadilishi ukweli unaohojiwa hapa.
Isitoshe kama uislam ndiyo uliowaletea waarabu lugha, katika maana ya kwamba kabla ya uislam waarabu hawakuwa na lugha hii ya kuruwan. Naweza nikaelewa. Lakini kama kuruwan ili adapt lugha ya waarabu sasa ubishi unatokea wapi?

Nikwambie tu jamaa yangu Bwana Utam wana uelewa yofauti na ulio nao. Wengi wa waislam wanawaona waarabu kama taifa teule. Hata hapa JF utasikia mtu anasema waarabu wamebarikiwa na Mwenyezi Mungu kana kwamba wao ni watu wa kipekee. Wako sawa na wale ambao (kimakosa) huwasujudia mayahudi kama taifa teule.
Unaona unavyo changanya majambo kijana kwa kujua ama kwa kutokujua uislam haujawaletea waarabu lugha umewaletea waarabu dini pia unachishindwa kukielewa kwa kusudi pia au bahati mbaya ni kwamba uislam haujaanzia kwa Waarabu na hata hio qur an inajitanabahisha hivyo hivyo pia hao wanaosema waarabu ni wamebarikiwa wanaongelea matakwa yao na wala sio msimamo wa dini au Quran mteule ama mbora kwa Allah na uislam ni yule anaefata amri na makatazo ya Allah ukweli wa kuyafuata tofauti na Wayahudi sijui wazayuni wana maandiko kabisa yanayo wa tanabahisha hivyo wakati hakuna andiko utaniletea linasema waarabu bora kuliko watu wengine kama lipo lilete
 
Kwa nini walazimike kujifunza lugha ndiyo wawe waumini? Watu wa mashariki ya kati wana shida sana.
Hata ukristo wakati unaenea miaka ya awali, mayahudi walikuwa wakitaka watu walazimike kushika desturi zao. Mojawapo ilikuwa ni kutahiriwa. Walitaka kila mtu akitaka kuwa mkristo lazima atahiriwe. Sasa watu wa nje ya ulimwengu wa mayahudi wakaona huu ni mzigo. Mtu ana miaka 60 atahiriwe. Lakini akina Paulo wakabishia hilo. Matokeo mayahudi wengi wakaanza kujitoa kwenye ukristo. Hata waarabu ni hivyo hivyo wanataka watu walazimike kushika desturi zao. Dawa ni kuwabishia tu kama walivyofanya mash'ia. Wale wana akili, wakakataa kuwa watumwa wa waarabu ambao hawana akili.
Uzuri ni kwamba uislam upo wazi hakujawahi kumlazimisha mtu na umejitanabahisha hivyo yooote yaliosemwa ndani ya qur an mwisho yakakupa uhuru ukitaka unayafuata ukitaka unaachana nayo wala hakuna sehemu umeambiwa lazima kuufuata uislam
 
Kwa hiyo misikiti haina nafasi yoyote katika ibada yenu?
Unanilisha maneno nimekwambia sio lazima ujenge msikiti kwa kufuata kama inavyojengwa na waarabu unaweza kujenga msikiti kwa kufuata tamaduni hata za wachina wachaga wakikuyu nk ili mradi inapatikana sehemu ya kusalia ukatolea mfano Jina la msikiti hili pia sio lazima msikiti hata uitwe mwakalenga maadam jina sio tusi na maana ni nzuri basi hakuna shida
 
Wengi hawafahamu ya kuwa uislam ni chombo au mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Nachelea kusema hivyo kwa sababu wenyewe waislam wanasema uislam is a total way of life.

Kwa maana nyingine ni utamaduni jumla wa maisha ya watu. Mambo yafuatayo ndiyo yanayonifanya niamini kwamba uislam ni mpango wa waarabu ku assimilate watu wengine wafuate mila za kiarabu.

1. Lugha inayotumika kufanya ibada yao ni kiarabu.

2. Muanzilishi wa dini yao alikuwa muarabu

3. Kitabu chao kimeandikwa kwa lugha ya kiarabu

4. Majina ya waumini wao ni ya kiarabu

5. MAvazi ya waumini wao ni ya tamaduni za kiarabu

6. Majengo yao ya ibada yana mtindo au architectural design ya uarabuni

7. Ala za muziki zinazotumika katika nyimbo za ibada zao ni za asili ya kiarabu

8. Vyakula au mapishi (cuisine) ni ya kiarabu

9. Namna ya kucheza muziki wa sherehe zao ni za kiarabu.

10. Mirathi, ndoa na maziko ni desturi za kiarabu
Kuna mambo mengi ambayo ukiyachunguza yanaenda zaidi ya imani. Yana taka yawe katika ujumla wote wa maisha ya Mtanzania.

Changamoto ni kwamba, kwenye secular state ni ngumu sana kutekeleza desturi hizo, kwa maana serikali yetu haifungamani na dini yoyote.
Karibuni wadau katika kujadili hili mkiwa na akili huru.

CC: Bwana Utam kahtaan FaizaFoxy Kosugi
Labda pengine kama ulikuwa hujui ni kwamba Qurani ni tofauti na Kiarabu...
Kuna Waarabu wasiojua Quran....
Muktadha wa Yale yaliyoandikwa kwenye Quran kuanzia irabu mpaka silabi Una tofauti na ule wa lugha ya Kiarabu
 
Unachanganya madesa, Mufti ni kiongozi wa waíslamu kwenye nchi, unategemea Uturuki Mufti awe nani?
Ukiambiwa mkristo wa Tanzania ni janga la taifa uamini mbona tanzania mufti kama anavyodai ni msambaa uislamu haun kiongoz kama papa anaegovern the world sio siasa hii kabla ya kuja hap unapaswa uulize au ujisomee maana u aonekana hata form 2 haujafika ukapitia simple reserch na kuvisi second hand information sites ujue ndan ya forum hii ukidverge from reality watu wanajua ww n mweupe
 
Kwanza mimi siyo "mrokole" kama unavyosema.
Pili hakuna dini yoyote duniani ambayo imefungamanishwa au kugungwa au kutembea chini ya desturi (hususan lugha) ya jamii fulani. Uislam ndiyo dini pekee ambayo waarabu wana haki miliki yake. Na uislam utakuwa huru pale tu utakapojitenga na uarabu. Pale utakapojitambua kwamba ni chombo cha kiimani/kiroho na si mpango wa kueneza tamaduni, mila na desturi za kiarabu.

Kuhusu kunihusu, kama uislam uko chini ya utumwa wa waarabu. Kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake kutoka kwenye fikra zake tunduizi. Huwezi kunipangia kitu gani niwaze. Hata Mwenyezi Mungu ametupa uhuru wa kuchagua yaani freewill.

Kwa ufupi ninachokiona baada ya muda mrefu wa utafiti.

Katika dini ya uislam, kitu unachokiona kwanza ni uarabu. Halafu baadaye ndiyo unauona uislam. Hilo kwa urahisi tu utaliona katika majengo yao ya ibada. Mbali na architectural design, kwanza utaona maneno yaliyoandikwa ni kiarabu. Masjid El Ijumah. Sasa sijui wanamuandikia nani kwa lugha hiyo.

Uislam ni underdog of uarabu.
ujafanya uchunguzi na wala uujui uislam bali ulicho kifanya wewe ni kuchukia kitu usicho kijua.Nenda kasometena na kafanye uchunguzi warabu walikuaje kabla hawaja pelekewa mtume na baada ya kupelekewa mtume
 
Wengi hawafahamu ya kuwa uislam ni chombo au mpango wa waarabu kueneza tamaduni, mila na desturi zao. Nachelea kusema hivyo kwa sababu wenyewe waislam wanasema uislam is a total way of life.

Kwa maana nyingine ni utamaduni jumla wa maisha ya watu. Mambo yafuatayo ndiyo yanayonifanya niamini kwamba uislam ni mpango wa waarabu ku assimilate watu wengine wafuate mila za kiarabu.

1. Lugha inayotumika kufanya ibada yao ni kiarabu.

2. Muanzilishi wa dini yao alikuwa muarabu

3. Kitabu chao kimeandikwa kwa lugha ya kiarabu

4. Majina ya waumini wao ni ya kiarabu

5. MAvazi ya waumini wao ni ya tamaduni za kiarabu

6. Majengo yao ya ibada yana mtindo au architectural design ya uarabuni

7. Ala za muziki zinazotumika katika nyimbo za ibada zao ni za asili ya kiarabu

8. Vyakula au mapishi (cuisine) ni ya kiarabu

9. Namna ya kucheza muziki wa sherehe zao ni za kiarabu.

10. Mirathi, ndoa na maziko ni desturi za kiarabu
Kuna mambo mengi ambayo ukiyachunguza yanaenda zaidi ya imani. Yana taka yawe katika ujumla wote wa maisha ya Mtanzania.

Changamoto ni kwamba, kwenye secular state ni ngumu sana kutekeleza desturi hizo, kwa maana serikali yetu haifungamani na dini yoyote.
Karibuni wadau katika kujadili hili mkiwa na akili huru.

CC: Bwana Utam kahtaan FaizaFoxy Kosugi
Mkuu inapendeza sana unapotaka kuandika chochote hasa kile ambacho huna ufahamu nacho UKAFANYA ITAFITI JAPO MDOGO.
Unless kama umekusudia kupotosha .

Ashakum si matusi -Haifai kumjibu Mjinga
lakin kwa faida ya wasomaji ipo haja ya kuweka sawa jambo hili.
Na Nitajielekeza katika point zako mbili tu
No.1 & 2 Zilizobaki umeandika nonsenses

Maana ya UISLAM si hiyo iliyoandika hapo na hapo ndipo inapoonesha uwezo wako Mdogo wa kufuatilia.

UISLAM ni Nini?
UISLAM ni Kujisalimisha kwa MUUMBA kwa Twaa(kumtii) Na kumpwekesha katika ibada (Kumuabudia yeye pekee) na Kujiepusha na Shirki (Kujitenga na mambo yote yanayohusiana na Ushirikina)
☝️ Ndio maana ya UISLAM sasa Ndugu hiyo yako umezitoa wapi?

Katika Uislam Tunaamini katika Vitabu vinne(4) walivyo letewa Manabii
1. ZABURI -Nabii DAUDI (Alayh Salaam)
2. TAURAT - Nabii MUSSA (Alayh salaam)
3. INJILI - Nabii ISSA (Alayh salaam)
4. QUR'AN -Muhammad(swala &salaam juu yake)

• Uletwaji wa hawa manabii ulielekezwa hasa kwa jamii ambazo kwa zama hizo zilikuwa zimechupa mipaka ya Uasi. za wakipelekewa UJUMBE huo kutoka kwa MUUMBA wao kwa lugha wanaielewa wao.
Na ndio maana DAUD,MUSSA na ISSA wote wakapelekwa na jamii ya MAYAHUDI na kwa lugha zao.

MWANZILISHI wa UISLAM si Nabii Muhammad (juu yake sala na salaam) Uislam upo toka Zama za Nabii NUHU ( Alayh salaam )
Na haya tumeyajua baada ya ALLAH kutupa habari za watu za Zama zilizopita kupitia huo QUR'AN , Unapomsikia NABII NUHU zivute fikra zako (kama unazo lakin) mpaka zama za mwanzo za kuanza kwa maisha ya Kiumbe Mwanadamu maana NUHU aliletwa baada ya tu ADAM.
Sasa kama Muanzilishi wa UISLAM ni MTUME WETU NUHU ,SWALEH ,IDIRISSA ,ILIYASA ,MUSSA, YAAKUBU ,SULEYMAN, DAUD, IS'HAQA
ISMAAIL, IBRAHEEM, ISSA, n.k
kama unavyodai muanzilishi ni Muhammad hao wote walikuwa DINI GANI?
na hayo majina ni majina ya dini?
wakati wote walikuja kabla ya Muhammad ( juu yake sala na salamu)

REJEA TENA ULIKOCHOTA MAKOROKORO YAKO KISHA JIFUNZE UPYA UKITANGULIZA HAMU YA KUJUA NA SI CHUKI- Kwasababu walipita watu smart & Intelligent waliokuwa na chuki sizizomithilika na wameondoka na Uislam na QUR'AN vipo vile vile , kwanini? kwasababu mwenye QUR'AN na dini yake ameahidi kuvihami na Yeye ni MKWELI WA AHADI.
 
Back
Top Bottom