Mkuu nani kakuambia ni battle hapa tunabadilishana maalifa kwanini tukae idol, mimi sio imamu au shekh mimi ni mwanafunzi wa teolojia mkuu.Wewe ni imamu au kiongozi wa msikiti?
Maana hizi battle za udini unazimudu kwelikweli halafu huchoki yani..
Sawa mkuu Kila la heriMkuu nani kakuambia ni battle hapa tunabadilishana maalifa kwanini tukae idol, mimi sio imamu au shekh mimi ni mwanafunzi wa teolojia mkuu.
Ashsnte mkuu kwa marekebisho hayo.Sawa mkuu Kila la heri
Maalifa-maarifa
Idol-idle
Mkuu ni lugha jina la Yesu hubadilika kulingana na lugha husika kwa mfano:Quran inachekesha sana.
Miaka yote mtu anaitwa Yeshua. Tena ni Myahudi (ushahidi uko) alaf miaka 600 mbele mseme hapana haitwi Yeshua bali anaitwa Issa.
Issah wa Quran amelisurubiwa msalabani??Mkuu ni lugha jina la Yesu hubadilika kulingana na lugha husika kwa mfano:
Haya ndiyo majina ya Yesu katika lugha mbalimbali:
1. Kiarabu: عيسى (ʿĪsā)
2. Kiebrania (Hebrew): יֵשׁוּעַ (Yeshua)
3. Kigiriki (Greek): Ἰησοῦς (Iēsous)
4. Kilatini (Latin): Iesus
5. Kiingereza: Jesus
6. Kihispania: Jesús
7. Kifaransa: Jésus
8. Kijerumani: Jesus
9. Kirusi: Иисус (Iisus)
10. Kichina (Mandarin): 耶稣 (Yēsū)
11. Kihindi: यीशु (Yeshu)
12. Kiswahili: Yesu
13. Kituruki: İsa
14. Kipersia (Farsi)*: عیسی (ʿĪsā)
Jina linabadilika kulingana na fonolojia ya lugha, lakini linarejea mtu ni yuleyule –Nabii Isa au Yesu.
Isaya 9:6 (Biblia Kiswahili):Isaya 9 : 6
"Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani".
hizo sifa zote unaona zinafanana na mfalme kweli!!!hata kama umeamua kuzima kichwa???Isaya 9:6 (Biblia Kiswahili):
Hata hivyo, baadhi ya wanazuoni wa Kiyahudi wanaitafsiri kuwa inamhusu mfalme wa wakati huo (kama Hezekia) na si masihi wa baadaye. Tafsiri inategemea imani na muktadha wa mtu anayesoma, wewe mkuristo unavutia kwako kwasbb ya malengo yako.
Mkuu Yesu hakuwahi kusema yeye ni Mungu Katika Yohana 17:3, Yesu anasema: “Na uzima wa milele ndio huu: wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.” Hapa Yesu anajitofautisha wazi na Mungu.YESU NI MUNGU,HATA WEWE PIA NI MUNGU MDOGO. AU ULIWAHI KUONA WAPI MTOTO WA NYOKA AKAWA NGE? PAMBANENI NA DINI YENU MAANA INAMAPUNGUFU MENGI TU PIA.
Historia ya Yeshua( Yesu) tangu sehemu alipozaliwa inatofautiana na ile ya Isa, hivyo hao ni watu wawili tofauti kwa muktadha huo.Mkuu ni lugha jina la Yesu hubadilika kulingana na lugha husika kwa mfano:
Haya ndiyo majina ya Yesu katika lugha mbalimbali:
1. Kiarabu: عيسى (ʿĪsā)
2. Kiebrania (Hebrew): יֵשׁוּעַ (Yeshua)
3. Kigiriki (Greek): Ἰησοῦς (Iēsous)
4. Kilatini (Latin): Iesus
5. Kiingereza: Jesus
6. Kihispania: Jesús
7. Kifaransa: Jésus
8. Kijerumani: Jesus
9. Kirusi: Иисус (Iisus)
10. Kichina (Mandarin): 耶稣 (Yēsū)
11. Kihindi: यीशु (Yeshu)
12. Kiswahili: Yesu
13. Kituruki: İsa
14. Kipersia (Farsi)*: عیسی (ʿĪsā)
Jina linabadilika kulingana na fonolojia ya lugha, lakini linarejea mtu ni yuleyule –Nabii Isa au Yesu.
Mkuu hata sijakuelewa Allah ni Allah na Yesu ni Yesu hata kwenye biblia ya kiarabu Yesu ni Issa Allah ni Mungu.kwahiyo Allah anadhani sisi wakristo tunamuita Yesu na mama yake ni Miungu!!!!
Ushahidi tafadhali mkuu, sitaki porojo hapa no evidence shut-up.Historia ya Yeshua( Yesu) tangu sehemu alipozaliwa inatofautiana na ile ya Isa, hivyo hao ni watu wawili tofauti kwa muktadha huo.
rejea andiko lako kule juu,maelezo ya Allah akimuliiza Issah.Mkuu hata sijakuelewa Allah ni Allah na Yesu ni Yesu hata kwenye biblia ya kiarabu Yesu ni Issa Allah ni Mungu.