Sasa msalabani wali saulumbu mwili au roho
akili ndogo mkuu.
You are the spirit that lives in the body.
Hapo ndo schools of thoughts kati ya christianity na baadhi ya dini zingine wanatofautiana.
Ukiwa katika spirit huwezi kunywa pombe za mifereji but you can do so ukiwa na mwili.
Ukiwa na spirit huwezi kukaza mabikra 72 lakini ukiwa na mwili utakuwa na mtallmbo wa kupiga miti!
Hebu pitia hii
Luka 20:27-38
Kisha baadhi ya Masadukayo wakamwendea, wale wasemao ya kwamba hakuna ufufuo, wakamwuliza,
Then came to him certain of the Sadducees, which deny that there is any resurrection; and they asked him,
[28]wakisema, Mwalimu, Musa alituandikia ya kuwa, mtu akifiwa na ndugu yake mwenye mke, lakini hana mtoto na amtwae huyu mke, ampatie ndugu yake mzao.
Saying, Master, Moses wrote unto us, If any man's brother die, having a wife, and he die without children, that his brother should take his wife, and raise up seed unto his brother.
[29]Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa mke, akafa hana mtoto;
There were therefore seven brethren: and the first took a wife, and died without children.
[30]na wa pili [akamtwaa yule mke, akafa hana mtoto;]
And the second took her to wife, and he died childless.
[31]hata wa tatu akamwoa, na kadhalika wote saba, wakafa, wasiache watoto.
And the third took her; and in like manner the seven also: and they left no children, and died.
[32]Mwisho akafa yule mke naye.
Last of all the woman died also.
[33]Basi, katika ufufuo atakuwa mke wa yupi? Maana aliolewa na wote saba.
Therefore in the resurrection whose wife of them is she? for seven had her to wife.
[34]Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa;
And Jesus answering said unto them, The children of this world marry, and are given in marriage:
[35]lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi;
But they which shall be accounted worthy to obtain that world, and the resurrection from the dead, neither marry, nor are given in marriage:
[36]wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo.
Neither can they die any more: for they are equal unto the angels; and are the children of God, being the children of the resurrection.
[37]Lakini, ya kuwa wafu hufufuliwa, hata na Musa alionyesha katika sura ya Kijiti, hapo alipomtaja Bwana kuwa ni Mungu wa Ibrahimu, na Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo.
Now that the dead are raised, even Moses shewed at the bush, when he calleth the Lord the God of Abraham, and the God of Isaac, and the God of Jacob.
[38]Naye si Mungu wa wafu, bali wa walio hai; kwa kuwa wote huishi kwake.
For he is not a God of the dead, but of the living: for all live unto him.